Black hermit
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 658
- 951
Kijazi ndio Nini ?Tuko Kijazi zaidi
Nasubiri daku saa11Hata mtu wewe hujalala! Duh!!
Aaah saa 11 ndo uwe macho Sasa hiviNasubiri daku saa11
Kuna vijana wakorofi kweli wanaweza wakala daku yote ndo tunaviziana kila mtu anakula timing[emoji15] [emoji15] [emoji15]Aaah saa 11 ndo uwe macho Sasa hivi
Ndo unawafanya watu wasilale eti?Kuna uzi humu wa usiku unaitwa jf usiku wa manane
HahaahaaaaaaaaKuna vijana wakorofi kweli wanaweza wakala daku yote ndo tunaviziana kila mtu anakula timing[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weunazani k.k securty humu hawapo ?
Wake zenu mnawapa huduma muda gani sasa mchana auMchana mda wa kutafuta bwashee. usiku angalau tunapata mda wa kupitia JF
Haaa hapo sasa nimekupata, hiyo target nzuri ila ndo kama lindo!Kuna vijana wakorofi kweli wanaweza wakala daku yote ndo tunaviziana kila mtu anakula timing[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Humu hawapo. Ukipita kwenye malindo yao sasa hivi wanasinzia wakiwa wameketiWeunazani k.k securty humu hawapo ?