HIVI JF WATU HUWA HAWALALI

HIVI JF WATU HUWA HAWALALI

Tuko Kijazi zaidi

362670.jpg
 
Mchana mda wa kutafuta bwashee. usiku angalau tunapata mda wa kupitia JF
 
Kuna vijana wakorofi kweli wanaweza wakala daku yote ndo tunaviziana kila mtu anakula timing[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahaahaaaaaaaa
kama vipi lala na daku yako kitandani kabisa
😀😀😀😀
 
Nilikuwa na mpenzi wangu,tulipendana kama chomaaaaa
 
Back
Top Bottom