Hivi jua huwa likizama linatua wapi?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Habari wakuu,


Tunajua usiku na mchana hupatikana kwa dunia kujizungusha kwenye muhimili wake.

Katika kitu cha kujiuliza ni wapi jua linapotua, je lenyewe halisimami?

Najua mtabeza.


Ila toeni maoni yenu.
 
Mleta mada ameonyesha athari ya elimu yetu ya shule MMEM na secondary za kata!!! Mpaka mtu unakuwa na uwezo wa kuwasiliana kwa smart phone bado hujui jua inafanya Je kazi?!!! Elimu yetu ni bomu isiywasaidia wahitimu!!! Imejaa siasa nyingi sana na mleta hoja ni muathirika wa elimu yetu.
 
Ipo siku litasimama kweli?
Sasa litasimamaje wakati nimekwambia huwa linazimwa na kuwashwa? yaani on/off.
Mkuu, Nisaidie kumuelewesha.
 
Wewe jibu hoja, sasa elimu inahusiana vpi na post, vitabu vimetungwa na mlevi tu. Uthibitisho tosha ni maandiko tu.
 
"In a pool of murky water"--Qur'an
 
dunia ni kama tufe la mpira kwahiyo tutolee mfano umechukua torch usiku kisha ukamulika lile tufe la mpira sehemu moja ya lile tufe litapata mwanga najinsi lile tufe linapo zunguka ndio ule upande ulio mulika patapata giza nadunia nihivyo hivyo kwahivyo jua huwa halizami ila dunia inapo zunguka ndio ile sehemu panapata giza na sehemu nyingine hushika mwanga.. nadhani nitakuwa nimejibu vizuri
 
Wewe jibu hoja, sasa elimu inahusiana vpi na post, vitabu vimetungwa na mlevi tu. Uthibitisho tosha ni maandiko tu.
Nijulishe kama wewe ndio upo kwenye hiyo Avatar yako nitakujibu vizuri kabisa .
Lakini kama huyo ni mwanao basi hustahili kujibiwa hilo ni swali la drs la IV [emoji87]
 
LOH! MKUU, JUA HALITEMBEI DUNIA NDYO HUZUNGUKA JUA, NA DUNIA NI KAMA TUFE, NA SIYO FLAT. HVYO WAKATI WEWE NI MCHANA.. KUNA MAENEO NI ASUBUH, JION NA HATA USIKU.

MFANO RAHISI TENGENEZA UMBO LA DUNIA HATA KWA UDONGO, WEKA TOCHI PAHALA HALAFU ZUNGUSHA HYO DUNIA UTAPATA JIBU.
 
Mkuu nimesema dunia kujizungusha kwenye muhimili wake ndo tunapata usiku na mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…