Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa halitui isipokuwa mungu huwa analizima ikifika jioni na huliwasha asubuhi na mapema, good morning...!Habari wakuu,
Tunajua usiku na mchana hupatikana kwa dunia kujizungusha kwenye muhimili wake.
Katika kitu cha kujiuliza ni wapi jua linapotua, je lenyewe halisimami?
Najua mtabeza.
Ila toeni maoni yenu.
Wanamajibu ya kusadikika huwa siwaelewi kabisa mmWanajografia hawawezi jibu?
Sasa litasimamaje wakati nimekwambia huwa linazimwa na kuwashwa? yaani on/off.Ipo siku litasimama kweli?
Mkuu, Nisaidie kumuelewesha.Mleta mada ameonyesha athari ya elimu yetu ya shule MMEM na secondary za kata!!! Mpaka mtu unakuwa na uwezo wa kuwasiliana kwa smart phone bado hujui jua inafanya Je kazi?!!! Elimu yetu ni bomu isiywasaidia wahitimu!!! Imejaa siasa nyingi sana na mleta hoja ni muathirika wa elimu yetu.
Wewe jibu hoja, sasa elimu inahusiana vpi na post, vitabu vimetungwa na mlevi tu. Uthibitisho tosha ni maandiko tu.Mleta mada ameonyesha athari ya elimu yetu ya shule MMEM na secondary za kata!!! Mpaka mtu unakuwa na uwezo wa kuwasiliana kwa smart phone bado hujui jua inafanya Je kazi?!!! Elimu yetu ni bomu isiywasaidia wahitimu!!! Imejaa siasa nyingi sana na mleta hoja ni muathirika wa elimu yetu.
Nijulishe kama wewe ndio upo kwenye hiyo Avatar yako nitakujibu vizuri kabisa .Wewe jibu hoja, sasa elimu inahusiana vpi na post, vitabu vimetungwa na mlevi tu. Uthibitisho tosha ni maandiko tu.
Mkuu nimesema dunia kujizungusha kwenye muhimili wake ndo tunapata usiku na mchana.LOH! MKUU, JUA HALITEMBEI DUNIA NDYO HUZUNGUKA JUA, NA DUNIA NI KAMA TUFE, NA SIYO FLAT. HVYO WAKATI WEWE NI MCHANA.. KUNA MAENEO NI ASUBUH, JION NA HATA USIKU.
MFANO RAHISI TENGENEZA UMBO LA DUNIA HATA KWA UDONGO, WEKA TOCHI PAHALA HALAFU ZUNGUSHA HYO DUNIA UTAPATA JIBU.