Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayo majua ukute yanamajinaMkuu jua linatembea af yapo majua mengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]ndo mana lisipo waka siku hiyo linakuwa limechafuka si etiHuwa linatua kwenye matope.
[emoji16][emoji16][emoji16]ndo mana lisipo waka siku hiyo linakuwa limechafuka si eti
Dunia ina mizunguko miwili.Wa Kwanza Dunia kujizungusha kwenye mhimili wake.Na wa pili kulizunguka jua.Mkuu nimesema dunia kujizungusha kwenye muhimili wake ndo tunapata usiku na mchana.
Mleta mada ameonyesha athari ya elimu yetu ya shule MMEM na secondary za kata!!! Mpaka mtu unakuwa na uwezo wa kuwasiliana kwa smart phone bado hujui jua inafanya Je kazi?!!! Elimu yetu ni bomu isiywasaidia wahitimu!!! Imejaa siasa nyingi sana na mleta hoja ni muathirika wa elimu yetu.
Imamu alituambia linazama kwenye matopeHabari wakuu,
Tunajua usiku na mchana hupatikana kwa dunia kujizungusha kwenye muhimili wake.
Katika kitu cha kujiuliza ni wapi jua linapotua, je lenyewe halisimami?
Najua mtabeza.
Ila toeni maoni yenu.
Hiyo ni dhana iloletwa na mlevi tuAisee uko darasa la ngapi?hii ni jografia ya darasa la tano mkuu.
Kuna mwingine juzi kauliza eti kama dunia inazunguka mbona hatumwagiki?sijui walimu wa siku hizi hawana zana za kufundishia!!...au wanafunzi wenyewe ndiyo wale 500 wa mh Mnyeti![emoji135]
Tupe uthibisho kwa nini unaona ni dhana ya uongo.Hiyo ni dhana iloletwa na mlevi tu
Kwahiyo na yeye ni juha..sorry jua?Mkuu jua linatembea af yapo majua mengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu jua linatembea af yapo majua mengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]