ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
Kasome jiografia drs la NNE. Unanitia hasira.Wanamajibu ya kusadikika huwa siwaelewi kabisa mm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome jiografia drs la NNE. Unanitia hasira.Wanamajibu ya kusadikika huwa siwaelewi kabisa mm
Kwanini???? Kwani dunia si inalizunguka jua ....we umeelewa nini kwenye sentensi yangu kwani!????????Mlisomea ujinga?
[emoji3]yawezekanaMlisomea ujinga?
hahaaa IPO siku huyo mungu uliyemtaja akiishiwa fedha atakuja kuliweka bond ..au kulibinafsishaHuwa halitui isipokuwa mungu huwa analizima ikifika jioni na huliwasha asubuhi na mapema, good morning...!
hahaaaaa on /off aiseeeSasa litasimamaje wakati nimekwambia huwa linazimwa na kuwashwa? yaani on/off.
Mkuu, Nisaidie kumuelewesha.
Unajua kusona Kiingereza?Al-Watan WEWE NDIYE AMBAYE HUJAELEWA HYO ARTICLE YA NASA. JUA HALISOGEI, LINAZUNGUKA PALEPALE LILIPO
HahahahaHuwa halitui isipokuwa mungu huwa analizima ikifika jioni na huliwasha asubuhi na mapema, good morning...!
Kwahiyo Mungu anakibalua cha kuzma na kuwasha jua kila siku hahahahahhaHuwa halitui isipokuwa mungu huwa analizima ikifika jioni na huliwasha asubuhi na mapema, good morning...!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa halitui isipokuwa mungu huwa analizima ikifika jioni na huliwasha asubuhi na mapema, good morning...!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa linaamkia nchi nyingine ndo maana kukiwa mchana huku marekani kule ni usiku wamelala