Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Na mibangiAna udongo mkavu kama wa Warioba na pia Maji makali meupe yanamkausha mafuta.
Na mibangiAna udongo mkavu kama wa Warioba na pia Maji makali meupe yanamkausha mafuta.
Mibangi inamnyonya mwili.Na mibangi
Lakini ana survive bado😅😅Mibangi inamnyonya mwili.
Hilo sidhani kama ni kweli. Mwaka 2001 tayari Sir Nature ameshatoa hits kadhaa na anaruka na mrembo Sinta. Hiyo kuzaliwa 1980 uongo.1980 = 46
Mwaka 2001 ni miaka 25 iliyopita ina maana Juma alikua tayari kavuka 20 it is possible kwa kijana aliyemaliza la saba na kuingia mtaani kusaka maisha. Hapo ana miaka zaidi ya 6 mtaani anasaka maisha. Pia kipindi kile hiphop ilikua inakua kwa kasi na bongo fleva ishaanza kuchangamka.Hilo sidhani kama ni kweli. Mwaka 2001 tayari Sir Nature ameshatoa hits kadhaa na anaruka na mrembo Sinta. Hiyo kuzaliwa 1980 uongo.
Kwa mwili huo nature anao anauhakika wa kufikisha 70 yes na Akaendelea kuishi bila madhara yoyote ya akiafya. Mwengine ana uhakika wa kuishi maisha marefu ni Tulia Kson, profesa Janabi, Paul Kagame na miss wote.Tangu nimeanza kumsikia juma nature enzi hizo alikua mbaba eti mpaka Leo bado yupo vilevile
View attachment 3582567
Kwa mwili huo nature anao anauhakika wa kufikisha 70 yes na Akaendelea kuishi bila madhara yoyote ya akiafya. Mwengine ana uhakika wa kuishi maisha marefu ni Tulia Kson, profesa Janabi, Paul Kagame na miss wote.
Robert Heriel Mtibeli
adriz de mbusii
HaswaaaWafugaji Rasta wengi hawazeeki na dhani ni vyakula
Hii sehemu naikubali sana....Steve B, Venture, Nature....uhhhh
Really???
WikipediaReally???
Duuh, aisee1980 = 46
Really???
Uhakika??? Kuna vifo vya ajali au kuuawa kumbukaKwa mwili huo nature anao anauhakika wa kufikisha 70 yes na Akaendelea kuishi bila madhara yoyote ya akiafya. Mwengine ana uhakika wa kuishi maisha marefu ni Tulia Kson, profesa Janabi, Paul Kagame na miss wote.
Robert Heriel Mtibeli
adriz de mbusii
GAdo remix.Steve B, Venture, Nature....uhhhh