Hili hili jeshi ambalo takribani asilimia 87 wana vitambi kama mjamzito mwenye mimba ya miezi 8!!??? Tuombee tu nchi yetu haina vikundi vya waasi ila ingekuwa ni disaster.maana hakuna jeshi ni mabwanyenye yaliyovaa combat za jeshi na kujifanya kukunja sura wakiwa wengi kwenye vifaru vinavyopita kwenye lami ili kuwatisha watu wanaotaka kuandamana