Mimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na wewe kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani.
United kingdom hasa scotland yale ma castle na england ( london ) ndani ya emirates stadium,
Saudi Arabia,
kisiwa cha Sicily kilichopo Italy napenda mandhari yake