Hivi kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani hapa duniani?

Mimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na wewe kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani.
were genye zinakuusumbua huna cha utalii wala nini
 
Aisee natamani kwenda Germany na Poland kuona zile kambi jehanamu za Hitler kama sobibor, majdanek,auschwitz,treblinka,dachau,buchenwald belzec na nyinginezo
 
Mimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na wewe kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani.
Nchi za Scandinavia na Israel!
 
Back
Top Bottom