Hivi kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani hapa duniani?

Hivi kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani hapa duniani?

SPAIN,SOUTH KOREA,INDIA nikakutane na kulfi nadhan sasa yupo tayar kwa ndoa,FRANCE
 
Costa Rica, new guinea, Nigeria & Ghana makes so soon, I will makes sure one of those journey flying with private jet.
 
Mimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na wewe kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani.
Mzabzab kuna mtu anakutafuta
 
United kingdom hasa scotland yale ma castle na england ( london ) ndani ya emirates stadium,
Saudi Arabia,
kisiwa cha Sicily kilichopo Italy napenda mandhari yake
Kweli wabongo tuna safari ndefu sana.
Yani mpaka hapo London safari ya masaa 8 mpaka 10 tu hujawahi kufika hadi karne hii ya 21?
 
Back
Top Bottom