Hivi kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani hapa duniani?

Hivi kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani hapa duniani?

Tutende mema duniani,wema unalipa. Kiukweli natamani sana kwenda burundi,napenda kujifunza tamaduni za kiafrika,nataka nikalijue kwa undani utamaduni wa watu wa burundi hasa waha,na wahutu. Lakini binadamu tunapanga nae Mungu ashatupangia basi tuombe uzima tufanikishe adhma yetu.
Burundi hata hamna ugumu huo mkuu tenga likizo moja mwisho wa mwaka anza kuweka akiba sasa mwisho wa mwaka uende
 
Mimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na wewe kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani.
Nakuongezea hapo! Usiache kwenda Latvia, Lithuania na Estonia ( Baltic Regions) kama kariba yako ni ishu za warembo! maana kule wanawake ni wengi sana kuliko wanaume.
 
England. London, Emirates Stadium na pia kuna baadhi ya architects ninaopenda kazi zao wenye kazi kibao London na England. Pia naona English countryside kunanoga sana.

Spain, Portugal na Chile - kuna walimu nilibahatika kufundishwa nao design wanatoka huko, vichwa vimejaa madini balaa na attitudes poa sana. Mazingira mazuri ila watu wanaonekana wako kirafiki rafiki sana.

Natamani kusema Paris na Milano pia ila nilibahatika kutembelea Venice na Verona, Italy, kitambo kidogo, zile old cities...miji mizuri na maarufu sana ila sewer system zao ni kongwe mno na bado zinatumika hadi leo hii, kiasi kwamba sikuweza kuenjoy vilivyo kwa sababu ya harufu mbaya mitaani. Naogopa Paris na Milano kunaweza kuwa hivyo pia.
 
Mimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na wewe kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani.
We nyau kule we ni nyani
 
Italy kwani huko wanawake ni wengi sana zaidi ya wanaume pia huko italy warithi wa mali za wazazi ni wanawake pia natamani kwenda nchi ya mongoli kwani huko wewe kama ni mwanaume unapotembelea kwenye mji wa mwanaume wa kimongoli utakaribishwa kwa furuha kubwa pia utaandaliwa sehemu ya kulala ambapo utakabidhiwa mke wa mwenyeji wako ili ulale nae hapo itakuwa niwewe tu na juhudi yako ya kuichakata mbususu, papuchi, nyapu,kipochi manyoya, bwabwa . Heko wanaume wa kimongoli kwa ukarimu wao.
 
Back
Top Bottom