Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Nakataaq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi wanaume wamekua wambea kuliko wanawakeUsikute mleta mada ni mwanaume
ImagineUnataka Celebrities forum tujadili kuhusu DP World?
Ulitaka wafanye mapenzi hadharani?Kajala na Jonas wanajisumbua tu kujificha na penzi lao la wizi wizi .
Hilo penzi lao watu tunalijua kitambo wenyewe eti wanadhani wanafanya siri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu mbaya zaidi Kajala alianza ku date na Mkude kipindi ambacho yupo na Harmonize ,halafu sasa Harmonize na Mkude walikuwa ni mabest .
Nina asilimia mia sababu kuu ya Harmonize kumuacha Kajala ni Mkude ,ndio maana siku hizi siwaoni pamoja yeye na Mkude.
Kingine hii birthday aliyoifanya juzi Kajala kama hajafanyiwa na Mkude sijui japo wengi wanadhani Marioo ndio kasimamia show nzima 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yani unaambiwa Kajala anampenda sana Mkude kule kwa Mzee wa Chitoholi alikuwa anamchuna tu.
Couple yao isiwe ya kiwizi wizi ambacho tunakihitaji mambo yawe hadharaniUlitaka wafanye mapenzi hadharani?
Picha basi!Kajala na Jonas wanajisumbua tu kujificha na penzi lao la wizi wizi .
Hilo penzi lao watu tunalijua kitambo wenyewe eti wanadhani wanafanya siri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu mbaya zaidi Kajala alianza ku date na Mkude kipindi ambacho yupo na Harmonize ,halafu sasa Harmonize na Mkude walikuwa ni mabest .
Nina asilimia mia sababu kuu ya Harmonize kumuacha Kajala ni Mkude ,ndio maana siku hizi siwaoni pamoja yeye na Mkude.
Kingine hii birthday aliyoifanya juzi Kajala kama hajafanyiwa na Mkude sijui japo wengi wanadhani Marioo ndio kasimamia show nzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani unaambiwa Kajala anampenda sana Mkude kule kwa Mzee wa Chitoholi alikuwa anamchuna tu.
It's the matter of time.
HahahahaHizi ndo mada za wabongo
CHAI..Unataka Celebrities forum tujadili kuhusu DP World?
Ni walinzi wa sokokuu la mifugo hapa Kibaigwa...🤨Kwani hao wanaojadiliwa hapa ndio kina nani huko Daslam?