Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

JWTZ walitamani wachukue nchi lakini amini nakwambia Jeshi la Abdul lina nguvu zaidi na lina siraha za kisasa na nasikia bado halijaondoka, si ajabu hata JW wakaanza kutekwa kama wanavyotekwa raia wa kawaida, , wewe uliona wapi ndani ya siku 2 tu watu zaidi ya elfu wanauliwa alafu maisha yanaendelea kama hamna kilichotokea
 
Anatak kutrend nasi tumempiga chin huyo, tar 29 ALIKUA wapi?
 
Kwaio mkapa na magu dini zao ziliwaruhusu kuua k&ma wewe,
K&lmmko,
Mbona hamkufanya huu u$nge wenu wa Sasa.
we k.uma mchezo wa kupoteza watu je wajua ulianza na magu, hao wanaompnga uyo mama yako n wakatoliki tu? Waliouawa ni wakatoliki tu? Wanaofanya maandamano ni wakatoliki tu? Swali lako eti kpnd cha mkapa na magu mbona watu hawakufanya hivi kwamba nyakati znafanana au siyo kwmb mi nlete mambo ya kpnd cha nyerere niseme mbona yeye watu hawakufanya hivi na vle, hv una akili timamu kweli wewe, kama kweli wakatoliki ndo wny maandamano bs ndo wny serikali maana wanapanga maandamano mpk yanafanyka serikali ya demon samia haijui na wala haijamkamata hata mmoja. Hayo mengne achana nayo jbu JE MADAI YA WANAONDAMANA NI YA MSINGI AU HAYANA MAANA? JE MADAI HAYO YANA UDINI NDANI YAKE KWMB WATU WANATAKA KUONGOZWA KWA KUFATA MSINGI WA BIBLIA AU SHARIAH?
 
K$ma we k$mlmko acha kujielezea sana m$kndu wewe..
 
Toka siku ya tukio nasikia bakabaka wooote wamefungiwa makambini?
ni kweli, mchepuko wangu ambao ni bakabaka wa kike kaniambia bakabaka wanaume/wavulana wengi wao bado wapo makambini. yeye yupo mtaani kwa kazi maalum.
 
Ni sahihi. Dogo nimetoka kuongeanaye kafungiwa pale Mafinga.
Jamaa sijui anathink kwa kutumia nini!

Hajui watu tuna baba, kaka, dada, wajomba zetu ni wajeda na tulikuwa tunaishi nao majumbani ila hatujawaona zaidi ya wiki kadhaa sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…