Wanaheshinwengi wa chini hawaungi mkono Mkunda na kundi lake.Hamna kitu hapo jeshi ndio uozo kabisa
Ila hawawezi kuchukua maamuzi.
Wanaheshinwengi wa chini hawaungi mkono Mkunda na kundi lake.Hamna kitu hapo jeshi ndio uozo kabisa
na wao ni mateka ?Toka siku ya tukio nasikia bakabaka wooote wamefungiwa makambini?
Ndio hamna kitu Sasa mwanajeshi sifa ya kwanza ni ujasiri Sasa haya ya kwetu ni maoga hamna jeshi hapoWanaheshinwengi wa chini hawaungi mkono Mkunda na kundi lake.
Ila hawawezi kuchukua maamuzi.
mwananchi anauliwa , majeshi ya kigeni yanaonekana , wao wanaact kwa matakwa ya nan ?Wewe unafikiri JW wana act unavyotaka wewe.?? Huwez jua muundo wao ukoje mpaka issue ya kuingilia maandamano ikawa ngumu
Dah umenikumbusha jambo na nimeona labda nilismea hapa. Mtakumbuka mara ya mwanzo kabisa alipoingia social media na kusema kuwa polepole ametekwa, alisema kuwa polepole ana chip mwilini mwake. Mnakumbuka hilo? Sasa kama alikuwa na chip mwilini mwake ni kwa nini hadi hii leo wameshindwa kutrace alipo? Ok labda tuseme alipotekwa watekaji waliitoa hiyo chip, hata hivyo ni kwa nini hadi hii leo wameshindwa kujua ni mahali gani ilikuwa ni mara ya mwisho chip yake kuwa live (yaani last ping ilikuwa wapi?). Maana hiyo ingelisaidia kuwa ni wapi polepole alikuwepo mara ya mwisho kabla ya kutolewa chip na wangelianzia hapo mahali kumtafuta ndugu yao.Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni
Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Kuna majitu bado yanaona jeshi ndio mkombozi eti kwamba wanafuata utaratibu yaani raia wanauwawa Kwa maagizo ya vibaka waliopeana madaraka wanajeshi wanaaangalia tu ngoja na yenyewe yaje kuuwawa🤣🤣🤣mwananchi anauliwa , majeshi ya kigeni yanaonekana , wao wanaact kwa matakwa ya nan ?
Nyiny vilaz ni swala la muda mtakuja kuelewa haya malalamiko ya watu
wakiwamudu raia wataanza hata kuwaua na niny
Huwezi kupigana ukiwa mwenyewe.Ndio hamna kitu Sasa mwanajeshi sifa ya kwanza ni ujasiri Sasa haya ya kwetu ni maoga hamna jeshi hapo
Kwahiyo hao wanajeshi wa chini miaka yote hiyo minne Samia akilaumiwa walikua hawajajipanga ndio maana nikasema tanzania wanajeshi ni mioga kuhusu D9 wananchi sio wa kulaumiwa wameona hamna mtetezi kwahiyo ni Bora wajitetee maana jeshi lenyewe kibogoyo Bora liwalo na liweHuwezi kupigana ukiwa mwenyewe.
Hata wanaoplan D9 ni wapumbavu, maana hiyo inakuwa Jeshi la nyumbu.
Mapambano.lazima.yawe na matokeo, ndio maana yana mikakati
Mimi sio mnafiki siwezi kutetea mtu ambaye anamwona Magufuli ni malaika. Polepole alitakiwa afuelezee tumefikaje hapa tulipo. Na ili kuokoa taifa CCM iondoke katika uongozi. Kushindwa kufanya hivyo kuuliwa kwake kuwe funzo kwa wengine.Wewe ni mnafki unafahamu hili?
Pia mfarisayo
Magufuli ni Malaika wa tanzania full stop kama unamchukia ni wewe mzee wa cheti feki na fisadi mlikua mnachafua mzee kuteka na kuuwa watu Ili wananchi tumchukie na hatuwezi kumchukia milele magufuli ni Malaika wa tanzania aliekaa na maadui wa nchi nyumba Moja mwishowe wakamuua Ili waendelee kuishi kifalme na kutesa masikiniMimi sio mnafiki siwezi kutetea mtu ambaye anamwona Magufuli ni malaika. Polepole alitakiwa afuelezee tumefikaje hapa tulipo. Na ili kuokoa taifa CCM iondoke katika uongozi. Kushindwa kufanya hivyo kuuliwa kwake kuwe funzo kwa wengine.
Malaika ambaye mlinzi wake kamkataa na yupo pamoja na wahuni. Malaika ambaye binti wake wa kumzaa kamkataa yupo pamoja na wahuni. Malaika ambaye alichezea pesa nchi ikawa haina hela mpaka akamleta Rostam na kumlamba miguu. Malaika alieanzisha ubabe ambao leo hii Samia anautumia. Tanzania bado sana, CCM waibe mpaka tuwe kama Congo nikirudi nipige hela kama Katumbi maana nchi imejaa wajinga.Magufuli ni Malaika wa tanzania full stop kama unamchukia ni wewe mzee wa cheti feki na fisadi mlikua mnachafua mzee kuteka na kuuwa watu Ili wananchi tumchukie na hatuwezi kumchukia milele magufuli ni Malaika wa tanzania aliekaa na maadui wa nchi nyumba Moja mwishowe wakamuua Ili waendelee kuishi kifalme na kutesa masikini
Nimesikia fununu uwe na familia au huna wote kambini kutoka kwa kibali yaelekea mambo sio shwari mpka hivi sasa tujihadhari kwa kuweka vitu ndani kwa matumizi yetu/familia/ndugu jamaa na marafiki wahitaji piaToka siku ya tukio nasikia bakabaka wooote wamefungiwa makambini?
Kasome kitabu cha in the name of president hakuna malaika katili ivyoMagufuli ni Malaika wa tanzania full stop kama unamchukia ni wewe mzee wa cheti feki na fisadi mlikua mnachafua mzee kuteka na kuuwa watu Ili wananchi tumchukie na hatuwezi kumchukia milele magufuli ni Malaika wa tanzania aliekaa na maadui wa nchi nyumba Moja mwishowe wakamuua Ili waendelee kuishi kifalme na kutesa masikini
Mimi si Mwanasiasa hata kama Siasa inagusa maisha yangu, kwahiyo si kila Mtu ni Mwanasiasakwan kuna mtu sio mwanasiasa ?
Unaishije bila siasa kwa mfano , ebu elezea
😄 🤣 😂 Alooomambo ni mengi nchi hii kwani hujaona wahaini nchi hii wanapelekwa mahakamani wakiwa na vijora
He is a COLONEL kwa UK na US, Kwa Asia hasa India na Russia ni Karnal na kwa Kiswahili ni KANALIMkuu unamaanisha nini?
Alikuomba umtetee?Mimi sio mnafiki siwezi kutetea mtu ambaye anamwona Magufuli ni malaika. Polepole alitakiwa afuelezee tumefikaje hapa tulipo. Na ili kuokoa taifa CCM iondoke katika uongozi. Kushindwa kufanya hivyo kuuliwa kwake kuwe funzo kwa wengine.
Si utumwagie hata kidogoMkuu kunampasuko siyo wa level ya kawaida ,hii ya kugonga watu vyuma ndiyo kama imemwaga pilipili kwenye vidonda vibichi.
Mkuu kunamikakati mingine naogopa hadi kuiongea .
Muhimu chakushika ni kwamba kesho ya Tanganyika ni njema sana ,tena mnooo
ishi humo.
Yaan itabidi Kikwete achunge watoto wake na hivi ni wengi safari hii wameshika papayaWewe subiri utakuja kuona oneday kama ni mikwara au jamaa ana maanisha.
Inaonekana hauna upeo wa kujua mtu anamaanisha nini kwa anachokiongea ,ebu msikilize tena uone kuna maneno ameyarudia zaidi ya mara tatu ,jarcarhire najua una watoto ,unajua uchungu wa watoto ,kumbuka safari yako ya china(hapa alienda kumuokoa rizmoko asile kitanzi) ,kauli nyingine ni ile ya unakunywa wine vizuri tu ,we endelea tu kunywa....
Hizo kauli zinamaanisha kwamba siku zake za kunywa wine zinahesabika na siku zake za kuhisi maumivu ya watoto zinahesabika.
Aaaah au sio??Mkuu kunampasuko siyo wa level ya kawaida ,hii ya kugonga watu vyuma ndiyo kama imemwaga pilipili kwenye vidonda vibichi.
Mkuu kunamikakati mingine naogopa hadi kuiongea .
Muhimu chakushika ni kwamba kesho ya Tanganyika ni njema sana ,tena mnooo
ishi humo.