Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Yaani mwanajeshi mzalendo ufungiwe ndani kama kuku ukubali hii Kali kwahiyo wanajeshi wapo geti Kali kama broila basi hamna jeshi hapo ni mradi wa ccm kama yamekubali kufungiwa Ili wananchi wauwawe sitoshangaa hata wakiyaua na yenyewe huko kambini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo ndo utajua hamna jeshi
 
Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni

Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Yule ni TAPELI tu anatafuta umaarufu kupitia marehemu
 
Mkakati Gani acheni kutuandikia ujinga hapa tanzania hamna jeshi Kuna wafuga vitambi tu huu ujinga waandikie wajinga yaani mwanajeshi wa tanzania awe na huruma na wewe mwananchi hilo sahau huu ujinga kuamini jeshi la ccm ndio umefanya watu kufa wengi
Wana vitambi utafikiri wanasiasa 😆😆.
Umahiri wao utauona tu pale ukipita bahati mbaya kwenye kambi zao au ukutane nao ukiwa na jezi inayoshabihiana na yao tena ya mtumba.
 
Wana vitambi utafikiri wanasiasa 😆😆.
Umahiri wao utauona tu pale ukipita bahati mbaya kwenye kambi zao au ukutane nao ukiwa na jezi inayoshabihiana na yao tena ya mtumba.
Yanapenda sifa kuwaonea wananchi wasio na mafunzo basi yanajiona mababe kumbe hamna kitu🤣🤣🤣🤣
 
Watanganyika wajinga sana.
Eti mwanajeshi wa NATO.
Daahhh
Kwa ujinga huu wa Watanzania licha ya kuuliwa maelfu tarehe 29 tarehe 9 wanakwenda kufa wengine kijinga kwa propaganda za Mange.
NATO ina tovuti , imeweka wazi kila kitu still mtu anawahadaa umma kuwa ni mjeshi wa NATO.
Yaani NATO inaajiri wanajeshi now
 
NATO - sababu NATO inategemea wanachama wake ndio watoe mchango wa wanajeshi basi ni kusema ni mwanajeshi wa nchi fulani ambayo ni member wa NATO... Anyway sijui sana kwenye hili wala sijamfuatilia huyu Bwana ila nimefuatilia misemo ya Wahenga kwamba Simba mwenda pole ndio mla Nyama - Unless mapambano yake ndio haya kuweka watu aware na kuwapa motivation; lakini akiwa msema mengi watu wataacha kuamini na kudhani / kumuita msema hovyo....
 
We mjinga jeshi la tanzania ni Mali ya ccm kama unabisha endelea kubisha Sina mda was kubishana na wajinga
Rekebisha kauli, sema wale top wapo na bimdashi sababu ya Ankara, ila hawa wa huku chini ambao ndio wengi wameonyesha chuki za wazi na ccm
 
Rekebisha kauli, sema wale top wapo na bimdashi sababu ya Ankara, ila hawa wa huku chini ambao ndio wengi wameonyesha chuki za wazi na ccm
Hamna kitu hapo wengekua wanaichukia ccm wangeshachukua nchi narudia tena jeshi la tanzania linafurahia wananchi zaidi ya elfu kumi kuuwawa mbele ya macho Yao sababu xananmlinda bibi wa miaka zaidi ya 70 kutokea Zanzibar Kwa asilimia 100% kasoro tesha tu ambae Sasa hivi sio mwanajeshi tena wamemfukuza kazi
 
Sehemu yeyote walipokuwa JWTZ basi Magaidi wa Abdul walikuwa hawafanyi chochote na ikitokea wamefyatua risasi kwa raia basi ubongo wake ulikuwa mali ya JWTZ.
Nakusaupport kwa 200% hili nimelishuhudia mtaani kwetu..
Policcm walikimbizwa vibaya na bakabaka kisa walipita wakapiga mabomu ya machozi wakati raia wametulia
 
Kuna jamaa nilimwambia Kalamu kuhusu hiyo issue ya JWTZ wapo lockdown ,wanaotoka ni wale wenye kazi maalum tu na siku ya tukio kuna baadhi ya JWTZ waliwafamua ubongo magaidi wa ABDUL kwasababu walikuwa wanaua watu hovyo hovyo.
Bunduki zao zilikua na risasi kumbe!?
 
Mkuu kunampasuko siyo wa level ya kawaida ,hii ya kugonga watu vyuma ndiyo kama imemwaga pilipili kwenye vidonda vibichi.

Mkuu kunamikakati mingine naogopa hadi kuiongea .

Muhimu chakushika ni kwamba kesho ya Tanganyika ni njema sana ,tena mnooo

ishi humo.
Mkuu embu acha zako bongo kuna wanawake tu wakikukamata umevaa nguo zao wanaruka na wewe
 
Back
Top Bottom