Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Kuna jamaa nilimwambia Kalamu kuhusu hiyo issue ya JWTZ wapo lockdown ,wanaotoka ni wale wenye kazi maalum tu na siku ya tukio kuna baadhi ya JWTZ waliwafamua ubongo magaidi wa ABDUL kwasababu walikuwa wanaua watu hovyo hovyo.
Naweza nikaamini hili maana nina mshikaji jirani yangu ni mwanajeshi toka itokee hii issue ya maandamano nimemwona mara mbili tu kitu ambacho sio kawaida.
 
Ngoja tuone hiyo mikwara yake maana amesema tarehe 9 wataanzia masaki mpaka mikocheni
D9 Jahcarhire hatokuwa Masaki ,mikocheni ,kawe beach wala msoga ,huwa kuna chimbo anaenda kujificha kama alivyojificha MO29.......Ingependeza Gen Z wakiongozwa na makamanda wa vita waende kusalimia nyumba zake zote hizo.

Nsisitiza ewe Gen Z ,ewe mwananchi usitoke D9 kuandamana mikono mitupu ,chukua silaha yeyote ambayo utaona italeta impact kwa wahuni ,kama umekosa Ak47 za magendo kutoka congo basi tafuta hata Gobole ,chukua mishale yenye sumu ,mikuki yenye sumu maana unaenda kupambana na wauaji wenye silaha.
 
Inasikitisha sana JW kufungiwa ndani maana walivyokuwa nje walikuwa hawakubali kushuhudia raia wakila vyuma hovyo hovyo ,magaidi wa Abdul wamekula vyuma sana ndiyo maana BIBI CHURA na CHOKOSTIKI Abdul wakatoa order wawekwe LOCKDOWN ,kwahiyo waliokuwa nje ni wale ambao order imetoka kwa BIBI CHURA kupitia CDF MKUNDV.
Hamna kitu kama hicho mzee usituletee chai hapa
 
Mkuu kunampasuko siyo wa level ya kawaida ,hii ya kugonga watu vyuma ndiyo kama imemwaga pilipili kwenye vidonda vibichi.

Mkuu kunamikakati mingine naogopa hadi kuiongea .

Muhimu chakushika ni kwamba kesho ya Tanganyika ni njema sana ,tena mnooo

ishi humo.
Ngoja ni bookmark hii comment naimani kuna siku nitaisoma tena kuangalia haya ni yakweli au la?
 
Najua nini unamaanisha ,ni kuwatia hasira JWTZ wachukue hatua maana wamekuwa MANDEZI sana.
Sio wameku hao ni mandezi 100% wangeku na akili walipaswa kuchukua nchi hata kabla ya maandamano Kwa ULE ufisadi aliokua anaupost mange 1
 
Ngoja tuone wanasema usimkatie mtu tamaa ila huyu msela 🤣🤣🤣🤣🤣
anabonga sana mambo mengi randomly... ila pia kiukweli lazima uchanganyikiwe ndugu wa damu awe kwenye hiyo situation lazima kichwa kipate moto.
 
Back
Top Bottom