Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
9/12 tunakuweka Frontline😂😂😂😂😂
9/12 tunakuweka Frontline😂😂😂😂😂
Yaani mwanajeshi mzalendo ufungiwe ndani kama kuku ukubali hii Kali kwahiyo wanajeshi wapo geti Kali kama broila basi hamna jeshi hapo ni mradi wa ccm kama yamekubali kufungiwa Ili wananchi wauwawe sitoshangaa hata wakiyaua na yenyewe huko kambini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna jamaa nilimwambia Kalamu kuhusu hiyo issue ya JWTZ wapo lockdown ,wanaotoka ni wale wenye kazi maalum tu na siku ya tukio kuna baadhi ya JWTZ waliwafamua ubongo magaidi wa ABDUL kwasababu walikuwa wanaua wato ovyo ovyo.
Wako seriuos kurusha vichura waliovaa nguo za jeshiIla ukikaa chini vizuri ukatafakari unakuja kugundua wanajeshi bongo wana umama sana hawana jambo lolote la maana....
Sasa kumbe ulichokua unanikosoa ninini
Wewe mwenye akili unatakiwa uanzishe la kwako sasa.We mjinga jeshi la tanzania ni Mali ya ccm kama unabisha endelea kubisha Sina mda was kubishana na wajinga
Litaanzishwa na wananchi wenyewe wakiwa msituni ila sio hili la Sasa ambalo ni Mali ya chamaWewe mwenye akili unatakiwa uanzishe la kwako sasa.
Ngoja tuone hiyo mikwara yake maana amesema tarehe 9 wataanzia masaki mpaka mikocheniAtakua mwanajeshi ndio,maana video iliyopita aliongea akiwa na uniform na anasema ndio alikuwa ametoka job muda huo.
Mtu anajiamini sana yule,mtu anaongea na CDF kama kijana fulani tu,hawa Kina Mafwele na Muliro ndio anawaita machawa wawili
Code Gani wewe endelea kujilosha upepo ila ukweli ndio huo tanzania jeshi lipo Kwa ajili ya kulinda mafisadi na sio wananchiujinga ni wewe mwenyewe uwezi kutoa code ili ujipange na ujinga wako kuonekana sio mjinga
Hamna kitu hapoWewe subiri utakuja kuona oneday kama ni mikwara au jamaa ana maanisha.
Inaonekana hauna upeo wa kujua mtu anamaanisha nini kwa anachokiongea ,ebu msikilize tena uone kuna maneno ameyarudia zaidi ya mara tatu ,jarcarhire najua una watoto ,unajua uchungu wa watoto ,kumbuka safari yako ya china(hapa alienda kumuokoa rizmoko asile kitanzi) ,kauli nyingine ni ile ya unakunywa wine vizuri tu ,we endelea tu kunywa....
Hizo kauli zinamaanisha kwamba siku zake za kunywa wine zinahesabika na siku zake za kuhisi maumivu ya watoto zinahesabika.
Lengo la kuwafungia Makambini ni nini hasa?Kuna jamaa nilimwambia Kalamu kuhusu hiyo issue ya JWTZ wapo lockdown ,wanaotoka ni wale wenye kazi maalum tu na siku ya tukio kuna baadhi ya JWTZ waliwafamua ubongo magaidi wa ABDUL kwasababu walikuwa wanaua watu hovyo hovyo.
Tutajua hio sikuNgoja tuone hiyo mikwara yake maana amesema tarehe 9 wataanzia masaki mpaka mikocheni
Hilo ndo sisi watanzania tunataka litokee tupambane kesho ya vizazi vyetu ije iishi kwa raha na furahaMkuu kunampasuko siyo wa level ya kawaida ,hii ya kugonga watu vyuma ndiyo kama imemwaga pilipili kwenye vidonda vibichi.
Mkuu kunamikakati mingine naogopa hadi kuiongea .
Muhimu chakushika ni kwamba kesho ya Tanganyika ni njema sana ,tena mnooo
ishi humo.
Ndio ujue hapo hamna wanajeshi mnakubalije kufungiwa ndani kama broila🤣🤣🤣Lengo la kuwafungia Makambini ni nini hasa?
Liongo Hilo tanzania hii ni mwananchi kujipambania kama tulivyopambana tarehe 29 na kuendelea jeshi la tanzania ni mavi matupuHilo ndo sisi watanzania tunataka litokee tupambane kesho ya vizazi vyetu ije iishi kwa raha na furaha
Amenifurahisha sehemu moja, amesema tarehe 09.12.2025 tutakuwa naye barabarani.Tunaomba aje na BUNDUKI 10 zenye risasiAsubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni
Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Huo mkwara tu halafu jamaa anaonekana mlevi🤣🤣Atakua mwanajeshi ndio,maana video iliyopita aliongea akiwa na uniform na anasema ndio alikuwa ametoka job muda huo.
Mtu anajiamini sana yule,mtu anaongea na CDF kama kijana fulani tu,hawa Kina Mafwele na Muliro ndio anawaita machawa wawili
Je ni kweli soja au mlevi Fulani tuAmenifurahisha sehemu moja, amesema tarehe 09.12.2025 tutakuwa naye barabarani.Tunaomba aje na BUNDUKI 10 zenye risasi
Kambi zote walipewa ORDER waende kambini, si unajua mambo ya order jeshini!Kuna jamaa nilimwambia Kalamu kuhusu hiyo issue ya JWTZ wapo lockdown ,wanaotoka ni wale wenye kazi maalum tu na siku ya tukio kuna baadhi ya JWTZ waliwafamua ubongo magaidi wa ABDUL kwasababu walikuwa wanaua watu hovyo hovyo.
Inasikitisha sana JW kufungiwa ndani maana walivyokuwa nje walikuwa hawakubali kushuhudia raia wakila vyuma hovyo hovyo ,magaidi wa Abdul wamekula vyuma sana ndiyo maana BIBI CHURA na CHOKOSTIKI Abdul wakatoa order wawekwe LOCKDOWN ,kwahiyo waliokuwa nje ni wale ambao order imetoka kwa BIBI CHURA kupitia CDF MKUNDV.Yaani mwanajeshi mzalendo ufungiwe ndani kama kuku ukubali hii Kali kwahiyo wanajeshi wapo geti Kali kama broila basi hamna jeshi hapo ni mradi wa ccm🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣