Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Mkakati Gani acheni kutuandikia ujinga hapa tanzania hamna jeshi Kuna wafuga vitambi tu huu ujinga waandikie wajinga yaani mwanajeshi wa tanzania awe na huruma na wewe mwananchi hilo sahau huu ujinga kuamini jeshi la ccm ndio umefanya watu kufa wengi
ujinga ni wewe mwenyewe uwezi kutoa code ili ujipange na ujinga wako kuonekana sio mjinga
 
Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo tanzania na tarehe 9 wataanzia masaki mpaka mikocheni Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekua mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Unaeza weka hapa tujionee ile sauti ya kimamlaka!
 
ujinga ni wewe mwenyewe uwezi kutoa code ili ujipange na ujinga wako kuonekana sio mjinga
Ni kweli Mimi ni mjinga ila wewe ni lijinga zaidi yangu unaeamini kwamba hili jeshi la ccm linamkakati wa kuitoa ccm Ili mwananchi aifilisi ccm Mali ilizoiba utalambwa risasi ya kichwa na hakuna kitu watafanya zaidi wao kuendelea kuteuana na huu ujinga ndio ulifanya wengi wakafa wakaliamini jeshi ikifika usiku jeshi Hilo Hilo linawaua
 
Ulivyoandika kama unalijua sana Jeshi, kumbe hamna kitu.
Endelea kuamini jeshi litaipindua ccm maana kichwani kwako hazipo yaani ccm waunde jeshi lao la kuwalinda na wizi wao halafu lije liwapindue Ili kumfurahisha mwananchi sahau ndio maana siku sita watu wamewindwa kama wanyama na kuuwawa jeshi kama halioni kilichotokea na bado watu kama nyie wajinga mnaliona jeshi ni lenu wananchi hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni kweli Mimi ni mjinga ila wewe ni lijinga zaidi yangu unaeamini kwamba hili jeshi la ccm linamkakati wa kuitoa ccm Ili mwananchi aifilisi ccm Mali ilizoiba utalambwa risasi ya kichwa na hakuna kitu watafanya zaidi wao kuendelea kuteuana na huu ujinga ndio ulifanya wengi wakafa wakaliamini jeshi ikifika usiku jeshi Hilo Hilo linawaua
angalia uke wa mama yako alafu sema wewe ni mjinga
 
Endelea kuamini jeshi litaipibdua ccm maana kichwani kwako hazipo yaani ccm waunde jeshi lao la kywalinda na wizi wao halafu lije liwapindue Ili kumfurahisha mwananchi sahau ndio maana siku sita watu wamewindwa kama wanyama na kuuwawa jeshi kama halioni kilichotokea na bado watu kama nyie wajinga mnaliona jeshi ni lenu wananchi hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
Unasubiri Jeshi lipindue unadhani ni West Africa hapa, hilo msahau.
 
Endelea kuamini jeshi litaipibdua ccm maana kichwani kwako hazipo yaani ccm waunde jeshi lao la kywalinda na wizi wao halafu lije liwapindue Ili kumfurahisha mwananchi sahau ndio maana siku sita watu wamewindwa kama wanyama na kuuwawa jeshi kama halioni kilichotokea na bado watu kama nyie wajinga mnaliona jeshi ni lenu wananchi hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu naungana na wewe, Hawa wapuuzi wanataka kuaminisha watu ujinga Kwa awamu nyingine, hakuna jeshi la kusimama na wananchi hapo!
 
Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo tanzania na tarehe 9 wataanzia masaki mpaka mikocheni Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekua mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Wewe subiri utakuja kuona oneday kama ni mikwara au jamaa ana maanisha.

Inaonekana hauna upeo wa kujua mtu anamaanisha nini kwa anachokiongea ,ebu msikilize tena uone kuna maneno ameyarudia zaidi ya mara tatu ,jarcarhire najua una watoto ,unajua uchungu wa watoto ,kumbuka safari yako ya china(hapa alienda kumuokoa rizmoko asile kitanzi) ,kauli nyingine ni ile ya unakunywa wine vizuri tu ,we endelea tu kunywa....

Hizo kauli zinamaanisha kwamba siku zake za kunywa wine zinahesabika na siku zake za kuhisi maumivu ya watoto zinahesabika.
 
Sasa kumbe ulichokua unanikosoa ninini
Jeshi haliendeshwi unavyotaka wewe, ndiyo maana wakitaka kufanya mambo yao hawawasiliani na wewe. Ni vyema ukajua Jeshi siyo Chama cha Siasa kwamba linaongozwa kwa Demokrasia. Jeshi liko kwaajili ya mustakbali na manufaa ya Wananchi wengi na siyo kikundi cha watu wachache wenye ajenda zao za Siri.
 
Mkuu naungana na wewe, Hawa wapuuzi wanataka kuaminisha watu ujinga Kwa awamu nyingine, hakuna jeshi la kusimama na wananchi hapo!
Majinga sana watu wamekufa zaidi ya elfu 10 Kwa ujinga wa wanajeshi kuwa mioga halafu bado Kuna lijinga linasema eti Kuna mpango unasukwa hahahaha 🤣🤣🤣
 
Jeshi haliendeshwi unavyotaka wewe, ndiyo wakitaka kufanya mambo yao hawawasiliani na wewe. Ni vyema ukajua Jeshi siyo Chama cha Siasa kwamba linaongozwa kwa Demokrasia. Jeshi liko kwaajili ya mustakbali ya manufaa ya Wananchi wengi na siyo kikundi cha watu wachache wenye ajenda zao za Siri.
We mjinga jeshi la tanzania ni Mali ya ccm kama unabisha endelea kubisha Sina mda was kubishana na wajinga
 
Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo tanzania na tarehe 9 wataanzia masaki mpaka mikocheni Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekua mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Trauma trauma trauma polepole walishamuua siku nyingi sana. Sio kwamba ni mazuri lakini inauma sana.
 
Toka siku ya tukio nasikia bakabaka wooote wamefungiwa makambini?
Kuna jamaa nilimwambia Kalamu kuhusu hiyo issue ya JWTZ wapo lockdown ,wanaotoka ni wale wenye kazi maalum tu na siku ya tukio kuna baadhi ya JWTZ waliwafamua ubongo magaidi wa ABDUL kwasababu walikuwa wanaua watu hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom