Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Pale manzese darajani niliona kwa macho yangu wakimpiga askari wa KM KM kwa kitako Cha bundukiBunduki zao zilikua na risasi kumbe!?
Pale manzese darajani niliona kwa macho yangu wakimpiga askari wa KM KM kwa kitako Cha bundukiBunduki zao zilikua na risasi kumbe!?
Kila kitu kina mwisho. Kaburu aliikalia SA kwa zaidi ya miaka 300. Leo ni historia. Kwa hali halisi ccm ishajifia. Ndio maana wamefanya uchaguzi wa kimbwa kabisa.Endelea kuamini jeshi litaipindua ccm maana kichwani kwako hazipo yaani ccm waunde jeshi lao la kuwalinda na wizi wao halafu lije liwapindue Ili kumfurahisha mwananchi sahau ndio maana siku sita watu wamewindwa kama wanyama na kuuwawa jeshi kama halioni kilichotokea na bado watu kama nyie wajinga mnaliona jeshi ni lenu wananchi hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa hivyo vitendo angevifanyia kule NATO ? ,si mpaka aje field!!!Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni
Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Scouser unawakandia JW mpaka bac 😂Endelea kuamini jeshi litaipindua ccm maana kichwani kwako hazipo yaani ccm waunde jeshi lao la kuwalinda na wizi wao halafu lije liwapindue Ili kumfurahisha mwananchi sahau ndio maana siku sita watu wamewindwa kama wanyama na kuuwawa jeshi kama halioni kilichotokea na bado watu kama nyie wajinga mnaliona jeshi ni lenu wananchi hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
Walishamuua au unatamani iwe hivyo.Trauma trauma trauma polepole walishamuua siku nyingi sana. Sio kwamba ni mazuri lakini inauma sana.
Huyu kifo chake anastahili maana hakuongelea mabaya ya Magufuli. Hakutoa taarifa za ndani muhimu kama nani alimpiga risasi Tundu Lissu. Angekuwa na roho ya kutubu hituba yake ya kwanza ingekuwa katiba mpya. Mbadala yake alikuwa anapambana wabadilishe mgombea na waingie katika uchaguzi.System aliyokuwa anaisifia ndio iliyomuuua.Walishamuua au unatamani iwe hivyo.
Inakuuma sana na kuna Uzi mwingine ulikuwa unashangilia.
Asa unachojidai unahuzunika nini ?Huyu kifo chake anastahili maana hakuongelea mabaya ya Magufuli. Hakutoa taarifa za ndani muhimu kama nani alimpiga risasi Tundu Lissu. Angekuwa na roho ya kutubu hituba yake ya kwanza ingekuwa katiba mpya. Mbadala yake alikuwa anapambana wabadilishe mgombea na waingie katika uchaguzi.System aliyokuwa anaisifia ndio iliyomuuua.
Namuonea huruma kaka yake maana yeye hastahili hayaAsa unachojidai unahuzunika nini ?
Usiwe mnafki
Wewe ni mnafki unafahamu hili?Namuonea huruma kaka yake maana yeye hastahili haya
Kwa mfuatano huu..unaweza kudhani kuna lolote jeshi watafanya..? hiyo ni ndoto ya mchana..Hamna kitu hapo wengekua wanaichukia ccm wangeshachukua nchi narudia tena jeshi la tanzania linafurahia wananchi zaidi ya elfu kumi kuuwawa mbele ya macho Yao sababu xananmlinda bibi wa miaka zaidi ya 70 kutokea Zanzibar Kwa asilimia 100% kasoro tesha tu ambae Sasa hivi sio mwanajeshi tena wamemfukuza kazi
Bila hiyo nidhamu..JWTZ wangekua wanajeshi wa hovyo kama wa congo..nidhamu ndio imefanya liwe imara...hawatumii emotionswaendelee kuwa na nidhamu hivyo hivyo mpaka watakapoambiwa wajipige risasi kama order
Hivi jwrz wanatofuti Gani na jeshi la congoBila hiyo nidhamu..JWTZ wangekua wanajeshi wa hovyo kama wa congo..nidhamu ndio imefanya liwe imara...hawatumii emotions
😂😂😂😂mambo ni mengi nchi hii kwani hujaona wahaini nchi hii wanapelekwa mahakamani wakiwa na vijora
Tatizo unataka wafanye unavyofikiri wewe..wakati hatujui uko ndani walioshika mpini wakina naniHivi jwrz wanatofuti Gani na jeshi la congo