Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Sio wamekua hao ni mandezi wangekua na akili walipaswa kuchukua nchi hata kabla ya maandamano Kwa ULE ufisadi aliokua anaupost mange
Ila kweli dah kama watu wanameba mabillion za wananchi alafu watu wanajaribu kupinga UFIDADI huu alafu Askari wanachapa watu Risasi hovyo na misharaha Yao ya nyanya askri polisi na wajitafakari sana waaache kutumika vibaya kuchota laana za mauaji wanaofaidi ni first class citizens ,kiukweli kazi za majeshi kwanza ukabali kutotumia ubongo / akili ndio ufanye.
 
Huyu kifo chake anastahili maana hakuongelea mabaya ya Magufuli. Hakutoa taarifa za ndani muhimu kama nani alimpiga risasi Tundu Lissu. Angekuwa na roho ya kutubu hituba yake ya kwanza ingekuwa katiba mpya. Mbadala yake alikuwa anapambana wabadilishe mgombea na waingie katika uchaguzi.System aliyokuwa anaisifia ndio iliyomuuua.

Kumpigania pole pole ni kupoteza muda,

Isingekuwa JPM style yakuteka na Kua ,kuvuruga upinzani hii Nchi ingekuwa salama this Election 2025=kilichofanyika ni copy & Paste , JMP alichangia kuharibu mifumo ya utawala Bora na haya ndio matunda aliyotuachia japo alikuwa na mazuri yake pia.
 
M
Kuna wanajeshi walioletwa kutoka Zanzibar wameshiriki sana kuua watu na nafikiri hii ilitokea baada ya hawa wa Tanganyika kusita kufanya mauaji.
[/QUOT
Mimi sio mnafiki siwezi kutetea mtu ambaye anamwona Magufuli ni malaika. Polepole alitakiwa afuelezee tumefikaje hapa tulipo. Na ili kuokoa taifa CCM iondoke katika uongozi. Kushindwa kufanya hivyo kuuliwa kwake kuwe funzo kwa wengine.
Pole pole was opportunistic,acheni avune alicho kipanda tuweke unafiki pembeni,

Magufuli alikuwa autocratic/ kavuruga mfumo mzima wa utawala Bora na demkrasia ,kateka sana tu na kaumiza wengi to me one side is hero the other side is Villain,na ndiye katifikisha hapa manake aliuzia watu uoga Kwa kuteka na mwendelezo umeonekana ukisema maji ni Bora kuliko trillion 3 za kununua ndege kesho umepotea
 
Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni

Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Kwanini unafikiri unaweza kudanganya kuhusu issue kama hiyo.

Yeye anaongea, anapigania kaka yake, mateka wote, kusitishwa mauaji utekaji.

Hiyo nayo ni hatua muhimu kila mtu kutoka hadharani kupinga uhuni wa wahuni kwa njia yoyote ile.

Kama SADC, UN, Mo Ibrahim, Mstaafu wa Botwana, Amnesty, EU, Gwajima Kanisa, TLS, jamii ya waugwana wote duniani.

Inasaidia nini kumfungulia uzi kumkejeli? Unafikiri ni kazi rahisi kupinga udhalimu Tanzania na ID, jina lako kamili?

Mama yake alivamiwa,dada yake akatekwa, mdogo wake yupo matekani. Jiweke kwenye nafasi yake.
 
Ni jasiri wengine wangekaa kimya
 
Nae apunguze kuongea sasa tunataka vitendo yeye asuke mpango aanzishe kikosi na silaha juu msituni kazi ianze
Huwezi kujua anawaomba na kuongea na nini NATO, JWTZ. Kuna hatua kwa hatua za kufuata na kutoa ushahidi kabla ya kutuma vikosi vya NATO au USA, UK, France.

Anasikilizia kama Samia atasikia tahadhari. Sidhani kama atakuwa Bwege kama wengi hapa mtandaoni JF wanavyofikiri. Huwezi kumwaga mchele kwenye kuku wengi.
 
Kuna jamaa nilimwambia Kalamu kuhusu hiyo issue ya JWTZ wapo lockdown ,wanaotoka ni wale wenye kazi maalum tu na siku ya tukio kuna baadhi ya JWTZ waliwafamua ubongo magaidi wa ABDUL kwasababu walikuwa wanaua watu hovyo hovyo.
Mkuu 'King Kong', nakumbuka jibu langu kwa bandiko lako mara ya mwisho halikuwa zuri; ndiyo maana nimeweka alama ya mshangao kwenye bandiko lako hili hapa!

Kamwe siwezi kujibu nilivyo jibu kwenye lile bandiko kama maelezo yako ninge yaelewa kama nilivyo elewa hili hapa

Kwa hiyo naendelea kutatizika katika kujuwa upo upande gani!
 
Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni

Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Hakuna kitu kinachoitwa ''mwanajeshi wa NATO''. NATO ni ushirika wa nchi nyingi na kila nchi inatoa wanajeshi wake kunapokuwa na jambo la kutekeleza.
 
Huwezi kujua anawaomba na kuongea na nini NATO, JWTZ. Kuna hatua kwa hatua za kufuata na kutoa ushahidi kabla ya kutuma vikosi vya NATO au USA, UK, France.

Anasikilizia kama Samia atasikia tahadhari.
Naingilia mjadala ambao sijui umeanzia wapi; lakini hilo la NATO, tafadhali liondoe akilini, haliwezekani.

Hii ni kazi yetu sisi wenyewe, ni lazima tujipange kuifanya na kuikamilisha; kama ilivyo kwa maswala mengine yooote yanayo husu nchi yetu.
 
Huwezi kujua anawaomba na kuongea na nini NATO, JWTZ. Kuna hatua kwa hatua za kufuata na kutoa ushahidi kabla ya kutuma vikosi vya NATO au USA, UK, France.

Anasikilizia kama Samia atasikia tahadhari. Sidhani kama atakuwa Bwege kama wengi hapa mtandaoni JF wanavyofikiri. Huwezi kumwaga mchele kwenye kuku wengi.
Yap
 
Hakuna kitu kinachoitwa ''mwanajeshi wa NATO''. NATO ni ushirika wa nchi nyingi na kila nchi inatoa wanajeshi wake kunapokuwa na jambo la kutekeleza.
Sijui kwa nini waTanzania tunarudi kinyumenyume kiasi hiki katika uelewa wa mambo mengi ya kidunia. Ingetegemewa kwamba mtu anayeweza kuingia JF na kuandika maoni yake angeweza kufahamu jambo la namna hii kabla hata ya kulizungumzia; au hata kutafuta taarifa juu yake harakaharaka!

Kwa nini nchi yetu tunazidi kuwa wajinga?
 
Kuna loading>>>>>> inakuja tanzania unajua mpaka sasa mkuu wa majeshi na alichofanya nyerere kambi za jeshi kutotambuana ndio kinamfanya samuya na mkuu wa majeshi kuishi dodoma
Ila Mange..... Jinga lingine hili huku limezoa mavi kwa mikono na limelamba kabisa
 
Naingilia mjadala ambao sijui umeanzia wapi; lakini hilo la NATO, tafadhali liondoe akilini, haliwezekani.

Hii ni kazi yetu sisi wenyewe, ni lazima tujipange kuifanya na kuikamilisha; kama ilivyo kwa maswala mengine yooote yanayo husu nchi yetu.
Kuna covert operation nyingi duniani zinafanywa na wanachama wa NAT0 kama UK, USA, France. Elewa tunaposema NATO ni umbrella organisation.

Nyerere alisaidiwa mara nyingi kuzima mapinduzi na kurudishwa madarakani.

Of course ni jukumu letu ndio maana watu zaidi ya 10,000 wamepoteza maisha, maelfu kujeruhiwa na wengi wanashikilia kwenye mashimo mbalimbali Tanzania wakiteswa.
 
Back
Top Bottom