Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Mimi sio mnafiki siwezi kutetea mtu ambaye anamwona Magufuli ni malaika. Polepole alitakiwa afuelezee tumefikaje hapa tulipo. Na ili kuokoa taifa CCM iondoke katika uongozi. Kushindwa kufanya hivyo kuuliwa kwake kuwe funzo kwa wengine.
Huyo ndio aliyekuhabarisha jinsi wahuni wanavyofanya kazi kama miundo ya Nida, TA, CCM kuunganishwa.

Ndiye aliyekwambia mambo mengi kukufungua macho sababu ana watu wake ndani.

He is one of the most articulate Tanzania. Ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kueleza complex issue kutumia simple language bila mihemuko, utengano hivyo kuwafikia wananchi wengi.

Hotuba zake zilikuwa zinasimamisha Taifa. Aliomba pia msamaha. Hajawahi kuwa mwizi.

Kwanini una bifu na yeye kuliko Samia?
 
Hata usemaje magufuli ni Malaika nyie majizi ndio mnamchukia jiwe
Hakuna Samia bila Magufuli, Magu ndiye aliyeanzisha precedence ya haya yanayotokea. Watu kuanza kutekwa na kupotezwa. Kushinda Uchaguzi wa asilimia 90. Safi sana wasukuma mlionyesha dunia ushamba wenu. Rais anatumia fedha za umma kujenga airport, nyumba za Nhc, hospitali ya rufaa, mbuga ya burigi na chuo cha veta chatto. Mwishowe pesa ikawa hamna mpaka akamuita Rostam na kumlamba miguu.
 
Sijasema hayo uliyosema wewe.
Lakini nilicho nacho uhakika juu yake ni kwamba wewe hujui NATO ni nini kutokana na maelezo unayotoa.

Hilo la ubishi, haliwezi kunizuia nisikatae uijnga unaotaka kuueneza humu JF.
Huwa sitaki ujinga ujinga.
Huna lolote kuhusu kukataa ujinga. Inawezekana wewe ndio mjingamjinga mkubwa humu.

Hujitambui tu kwa sababu ya uwezo wako mdogo hata tukiweka mifano ya ujinga wako mwingi.
 
Huyo ndio aliyekuhabarisha jinsi wahuni wanavyofanya kazi kama miundo ya Nida, TA, CCM kuunganishwa.

Ndiye aliyekwambia mambo mengi kukufungua macho sababu ana watu wake ndani.

He is of the most artuculate Tanzania. Ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kueleza complex issue kutumia simple language bila mihemuko, utengano hivyo kuwafikia wananchi wengi.

Hotuba zake zilikuwa zinasimamisha Taifa. Aliomba pia msamaha.

Kwanini una bifu na yeye kuliko Samia?
Hayo mambo alisema marehemu Mzee Mengi wazi wazi. Kwa nini hakuongelea katiba mpya bali alikuwa anakimbilia uchaguzi kwa mfumo huu huu. Huyu alikuwa analinda tumbo na wameshamuua na watu wameshamsahau. Anakumbukwa na watu walio ndani ya CCM tu.
 
Wewe ni mpuuzi mmoja ni mjuaji, mtu mmoja mbishi sana. Wengi tayari wamekwambia hivyo hapa JF.
"Wengi mno"?
Wangapi? Jukwaa hili lina maelfu ya wachangiaji, wengi mno unaowajuwa wewe ni wangapi?

Yale yale niliyo kwisha kueleza hapo juu, kujipa ujuaji bila ya kuwa na ujuaji wenyewe.

Sasa nikwambie jambo: Usitegemee hata siku moja nikubali jambo ambalo ni la kijinga eti kwa sababu tu ya kuogopa kusemwa kuwa mbishi. Hilo hata siku moja hutaliona toka kwangu.

Hayo ya NATO uliyo yaeleza hapo juu ni ya kipuuzi kabisa.
 
Hujitambui tu kwa sababu ya uwezo wako mdogo hata ukiwekewa mifano ya ujinga wako mwingi.
Uwezo wangu mdogo huku nakwambia kuwa unayo eleza juu ya NATO ni wazi hujui lolote juuu yake?

Sasa unataka niseme wewe ni mpumbavu badala ya mjinga ndipo utaelewa?
 
Hayo mambo alisema marehemu Mzee Mengi wazi wazi
Ametuambia Samia, system inavyofanya kazi kila wiki kulihujumu Taifa. Watanzania kwa mamilioni walikuwa wanamsikiliza sababu kuna kitu muhimu, ukweli.

Ni mtu aliyejitoa muhanga kupigania maslahi ya hii nchi, kujiuzulu, kuishi kwa kujificha, kuteswa, familia yake kuumizwa.

Wewe umelifanyia nini hili Taifa, kumuhukumu Polepole?
 
Uwezo wangu mdogo huku nakwambia kuwa unayo eleza juu ya NATO ni wazi hujui lolote juuu yake?

Sasa unataka niseme wewe ni mpumbavu badala ya mjinga ndipo utaelewa?
Unataka kwenda huko, kwenye matusi. utapotea, huniwezi. Ndicho ninachokipinga kejeli, dhihaka, kebehi. Toa support.

Issue kuu hapa ni Augustino Polepole kupigania maslahi ya Watanzania, kaka yake kwa uwezo, nafasi aliyonayo.

Umeifanya issue kuwa wewe binafsi.
 
Unataka kwenda huko, kwenye matusi. utapotea, huniwezi.

Issue kuu hapa ni Augustino Polepole kupigania maslahi ya Watanzania, kaka yake kwa uwezo, nafasi aliyonayo.

Umeifanya issue kuwa wewe binafsi.

.
Rudi nyuma nilipo anzia na wewe; nilikueleza sijasoma hiyo issue', lakini ninachokataa ni hayo unayoeleza wewe. Sasa unataka kulazimisha nikubali kisichokuwa kweli?
Na zaidi ya yoye, inaonekana 'issue' husika tupo pamoja; lakini sikubaliani na maelezo yako juu ya 'specific information' uliyoiweka wewe jjuu ya maelezo ya NATO.
 
Kwahiyo hao wanajeshi wa chini miaka yote hiyo minne Samia akilaumiwa walikua hawajajipanga ndio maana nikasema tanzania wanajeshi ni mioga kuhusu D9 wananchi sio wa kulaumiwa wameona hamna mtetezi kwahiyo ni Bora wajitetee maana jeshi lenyewe kibogoyo Bora liwalo na liwe
Hakuna mtu ataandamna D9 kwasababu hata wewe hutaandamana.

Watu wako ndani wanauguza majeraha ya risasi wewe uko busy na D9, labda ukodi waandamanaji kutika kwingine.

Mimi naunga mkono mapambano ya kudai haki, ila siyo haya ya commercial activit Maria Sarungi.
 
Ametuambia Samia, system inavyofanya kazi kila wiki kulihujumu Taifa. Watanzania kwa mamilioni walikuwa wanamsikiliza sababu kuna kitu muhimu, ukweli.

Ni mtu aliyejitoa muhanga kupigania maslahi ya hii nchi, kujiuzulu, kuishi kwa kujificha, kuteswa, familia yake kuumizwa.

Wewe umelifanyia nini hili Taifa, kumuhukumu Polepole?
Sijawahi kuwa mwanasiasa na sina kadi ya chama chochote kile. Mimi nilifanya mengi mpaka nalidai taifa. Wajerumani wakanichukua nipo nchini kwao ninawatajirisha. Wewe je mwenzangu ?
 
Hakuna mtu ataandamna D9 kwasababu hata wewe hutaandamana.

Watu wako ndani wanauguza majeraha ya risasi wewe uko busy na D9, labda ukodi waandamanaji kutika kwingine.

Mimi naunga mkono mapambano ya kudai haki, ila siyo haya ya commercial activit Maria Sarungi.
Solution hapa iliyobaki ni kuweka kambi nchi jirani na kujipanga kuichukua nchi. Lasivyo tutasubiri sana.
 
Rudi nyuma nilipo anzia na wewe; nilikueleza sijasoma hiyo issue', lakini ninachokataa ni hayo unayoeleza wewe. Sasa unataka kulazimisha nikubali kisichokuwa kweli?
Na zaidi ya yoye, inaonekana 'issue' husika tupo pamoja; lakini sikubaliani na maelezo yako juu ya 'specific information' uliyoiweka wewe jjuu ya maelezo ya NATO.

Ninaposema NATO elewe ni nazungumzia nchi wanachama kufanya operation kwa kushirikiana hata kama ni tatu, tano unofficial.

Unafikiri Israel kuishambulia Iran, Lebanon, Syria, Palestine, Yemen haikushirikisha coordination ya wanachama wa NATO.

Israel ilijaza mafuta hewani kutumia ndege za USA, kuruhusiwa kupata anga kufika Iran, ikapewa msaada wa kuthibiti anga la Iran, nyumba za walioshi viongozi wakuu, kupewa mabomu kuua, Manuari za zao zilikuwepo kudhibiti Iran, mpango kudhibiti, kuzuia, kutungua missiles za Iran kufika Israel.

Anga karibu zote za waarabu zipo chini ya Wazungu.

Ni sawa na operation zinazofanywa ndani ya Urusi, Yemen, Syria, Somalia. Walifanyaje haya yote?

UK, USA, France na wengine sio official, wote walishiriki.

Mada inahusu ukombozi, imepoteza mwelekeo. Inahusu sasa matusi na kitu kidogo kuhusu NATO covert operations.
 
Solution hapa iliyobaki ni kuweka kambi nchi jirani na kujipanga kuichukua nchi. Lasivyo tutasubiri sana.
Magaidi wanazima mtandao wanarusha risasi za moto wanatungiankama.wanatungia nyani, halafu wanasema AI.

Huwezi kuingia kwe ye mapamabno kama hayo kama bila majibu ya mtandao, maji na risasi za moto.

Haya yatakuwa mapambano ya nyumbu. Mafanikio ni sifuri.

Tumeshazika mpaka nguo.
 
Sijawahi kuwa mwanasiasa na sina kadi ya chama chochote kile. Mimi nilifanya mengi mpaka nalidai taifa. Wajerumani wakanichukua nipo nchini kwao ninawatajirisha. Wewe je mwenzangu ?
Sio muhimu nipo wapi Mbagala rangitatu au Tunduma.

Kuishi Ujerumani, kuchukuliwa na Wajerumani, haikupi uhalali wowote, sauti kubwa, kujisifia na kuwapiga vita ambao walikataa, hawakuchukiliwa, na Wajerumani.

Muhimu kuunganisha taifa kupigania ukombozi. Usipunguze nguvu kwa hii divide and rule.
 
Kwa mfuatano huu..unaweza kudhani kuna lolote jeshi watafanya..? hiyo ni ndoto ya mchana..
Tufanye wewe ndio mkunda umezungukwa na watu hawa, ungefanya nini..?
1. Rear Admiral Ameir Hassan aliteuliwa kuongoza Kamandi ya Jeshi la Wanamaji kuanzia Okt 2023 hadi sasa.
2. Kwa sasa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu ipo chini ya Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo kuanzia tarehe 28 Disemba 2022 akipokea kijiti hicho toka kwa Meja Jenerali Antony Chacha Sibuti (Mstaafu).
3. Meja Jenerali Shabani Mani aliteuliwa kuwa Kamanda wa Jeshi la Anga kuanzia tarehe 23 Aug 2021 hadi sasa..
4. Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Iddi Nkambi
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele Mkuu wa JKT kuanzia tarehe 19 May 2021 hadi sasa
6. Chief of Defence intelligence Mbaraka Mkeremy
7. Chief of Staff Salum Haji Othman
Sasa unamanisha Nini,
Kwamba vita yenu na Samia ni vita ya kidini au cyo,
Mlitegemea may b mkunda sbbu ni mtu wa upande uo awasapoti ila ana kwamishwa na hao waislam au cyo
bas sawa endeleeni
 
Back
Top Bottom