Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Itajulikana mbele kwa mbele vyuma vikiumana kiwandani.
Hakuna kitu kama hicho cha "nchi tatu kufanya 'operation"; hili ndilo jambo la wazi kabisa linaloonyesha hujui NATO ni kitu gani.Ninaposema NATO elewe ni nazungumzia nchi wanachama kufanya operation kwa kushirikiana hata kama ni tatu, tano unofficial.
Tofautisha kinacho fanywa na nchi binafsi, kama Marekani, ambaye ni mwanachama wa NATO na ushiriki wa moja kwa moja wa NATO kama ushirika.Unafikiri Israel kuishambulia Iran, Lebanon, Syria, Palestine, Yemen haikushirikisha coordination ya wanachama wa NATO.
Huu ulikuwa ni ushirika wa Israel na Marekani, siyo NATOIsrael ilijaza mafuta hewani kutumia ndege za USA, kuruhusiwa kupata anga kufika Iran, ikapewa msaada wa kuthibiti anga la Iran, nyumba walioshi viongozi wakuu, kupewa mabomu kuua, Manuari za zao zilikuwepo kudhibiti Iran, mpango kudhibiti, kuzuia, kutungua missiles za Iran kufika Israel. Ni sawa na operation zinazofanywa ndani ya Urusi, Yemen, Syria, Somalia. Walifanyaje haya yote?
Jambo muhimu hapo kwenye hiyo taarifa ni "ushiriki wa NATO", hilo halipo kabisaMada inahusu ukombozi, imepoteza mwelekeo. Inahusu sasa matusi na kitu kidogo kuhusu NATO covert operations.
Wewe ni Matako kila siku ikianza mada lazima umtaje marehemu yule alishakufa kwani kuna kitu gani cha maana kimepiga hatua baafa ya yeye kufa, niambie kama kuna kupiga hatua kokote? zaidi ni kwamba hali ndio imekuwa mbaya zaidi, yeye amefanya sehemu yake ameshaondoka kama kuna sehemu alikosea waliopo si warekebishe, mbona kila siku mada itakayoanzishwa wewe jamaa lazima umtaje magufuli kwani alikufanyaga niniMalaika ambaye mlinzi wake kamkataa na yupo pamoja na wahuni. Malaika ambaye binti wake wa kumzaa kamkataa yupo pamoja na wahuni. Malaika ambaye alichezea pesa nchi ikawa haina hela mpaka akamleta Rostam na kumlamba miguu. Malaika alieanzisha ubabe ambao leo hii Samia anautumia. Tanzania bado sana, CCM waibe mpaka tuwe kama Congo nikirudi nipige hela kama Katumbi maana nchi imejaa wajinga.
Umeshikiria na kukomaa na Semantics. Nimekwambia mara nyingi hautumiki mfumo rasmi wa majadiliano. Ila ni resources, rasilimali, nguvu za wanachama.Hakuna kitu kama hicho cha "nchi tatu kufanya 'operation"; hili ndilo jambo la wazi kabisa linaloonyesha hujui NATO ni kitu gani.
Tofautisha kinacho fanywa na nchi binafsi, kama Marekani, ambaye ni mwanachama wa NATO na ushiriki wa moja kwa moja wa NATO kama ushirika.
Marekani kapigana sehemu mbalimbali duniani na kuangusha serikali mbalimbali; huwezi kusema ni NATO walioshiriki kwenye vita hivyo. Zipo taratibu zinazotumika na kutakiwa kufuatwa NATO inapojihusisha kwenye maswala kama ushirika. Kwa mfano; kama unafuatilia vizuri mtafaruku wa Urusi na jirani yake utaelewa ninacho kizungumzia hapa.
Huu ulikuwa ni ushirika wa Israel na Marekani, siyo NATO
Kwani wewe huoni aliye waweka watu hao kwenye nafasi hizo alikuwa na maana gani? Hili nalo unataka hadi uambiwe?Sasa unamanisha Nini,
Kwamba vita yenu na Samia ni vita ya kidini au cyo,
Mlitegemea may b mkunda sbbu ni mtu wa upande uo awasapoti ila ana kwamishwa na hao waislam au cyo
bas sawa endeleeni
Wewe kubadilisha lengo la uzi kuwa kuhusu wewe, lugha, semantics NATO ndio mnapunguza nguvu ya umma kupigania ukombozi. Japo hujitambui kama mwenzako Modwari hapo juu.Jambo muhimu hapo kwenye hiyo taarifa ni "ushiriki wa NATO", hilo halipo kabisa
Labda useme hizo nchi binafsi wananchama wa umoja hao; lakini siyo wao kama NATO na wala hawawezi kuiwakilisha NATO kwingine kokote, bali kwenye ulinzi wa nchi zao kama wananchama wa NATO.
Ukombozi wa nchi yetu tunautaka sote, na ni jukumu letu kuupata kwa kila njia itakayo wezekana; lakini haiwezekani kwa kupeana taarifa potofu.
Haya mambo ya kuvunga vunga ndiyo yaliyo tufikisha hapa tulipo sasa!
Mkuu, hapa hakuna cha 'semantics' wala nini, labda uwe unayo maana nyingine ya neno hilo. Hawa NATO wanazo taratibu zinazotumika kwenye umoja wao; hawa hawafanyi mambo yao kishamba kama tunavyofanya huku.Umeshikiria na kukomaa na Semantics. Nimekwambia mara nyingi hautumiki mfumo rasmi wa majadiliano. Ila ni resources, rasilimali, nguvu za wanachama.
Mujuni Kato Dog.Nakusaupport kwa 200% hili nimelishuhudia mtaani kwetu..
Policcm walikimbizwa vibaya na bakabaka kisa walipita wakapiga mabomu ya machozi wakati raia wametulia
Hiyo njia ni ngumu, lakini ndio njia pekee. Ccm haiwezi kutoka kwa boksi la kura wala sijui katiba mpya ni kupoteza muda tuSolution hapa iliyobaki ni kuweka kambi nchi jirani na kujipanga kuichukua nchi. Lasivyo tutasubiri sana.
HAPANA.Wewe kubadilisha lengo la uzi kuwa kuhusu wewe, lugha, semantics NATO ndio mnapunguza nguvu ya umma kupigania ukombozi. Japo hujitambui kama mwenzako Modwari hapo juu.
Ungeweza kwanza kuangalia lengo kuu la uzi, kusupport harakati za Augustino Polepole.
Kama una issue ndogondogo, Semantics, official version kuanzisha uzi wako.
By bagamoyo :
Mzee Mohamed Said inabidi huyu Hamisi Delgado umfanyie mahojiano ya maisha yake na mapito sehemu mbalimbali ya dunia, hizi stories za mizunguko duniani ni muhimu WaTanzania kuzisikia na kuwatia hamu kuondoka kutafuta fursa duniania kote.
Na usiishie kwa kuanda mahojiano na Hamisi Delgado bali watu wengine wengi unaowafahamu wa diaspora hii pia ni sehemu ya historia inafaa kuwepo katika hili jukwaa la historia.
Kwa nini wewe usiongelee hiyo katiba mya? wamekuziba mdomo auHii ni wake up call kwa walio ndani ya CCM. Mwaka 2015 waaliambiwa wanatakiwa kubeba ya chama tu na si mengineyo na chama ni mwenyekiti. Sasa kama yeye aliacha kazi akitegemea mama atajiuzulu waruhusu mgombea mwingine arudi katika ulaji. Matokeo yake wameshamuua kijana wa watu. Alivyoacha kazi alitakiwa aongelee katiba mpya.
Askari wa kweli huwa hatangazi hadharani mikakati yake dhidi ya adui.Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni
Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Niliandika hapa Mada mbili za Kumzungumzia huyo Mpumbavu na nasikitika Wapumbavu wenzake Jamvini bado tu pia hawakunielewa. Nilishamdharau kitambo sana na nimesikitika kuona nawe mpaka hivi leo hujamdharau japo naamini kuanzia sasa utaanza Kumdharau.Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni
Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Nachukia kujirudiarudia.Mkuu, hapa hakuna cha 'semantics' wala nini, labda uwe unayo maana nyingine ya neno hilo. Hawa NATO wanazo taratibu zinazotumika kwenye umoja wao; hawa hawafanyi mambo yao kishamba kama tunavyofanya huku.
NATO hahusiki popote nje ya umoja wao; na wala haiwakilishwi na baadhi ya wanachama wao nje ya umoja wao.
Kuna ugumu gani wa kuelewa hili.
Doctrine ya "You're with us or against Us"; imedumu muda mfupi sana hadi akina New Zealand nao wakaanza kuwa sehemu ya NATO!Nachukia kujirudiarudia.
Semantics, ufasaha ni kufuata kanuni za lugha sahihi siku zote.
USA, UK, Israel, France, Germany wanafuata hivyo kwenye taarifa sahihi, rasmi kwa umma tu. Taarifa za kijasusi, za mapinduzi hawafuati huo utaratibu.
NATO inaongozwa na USA akisema kitu hakuna wa kubisha japo wewe unaamini kuna demokrasia ndani ya mfumo wowote wa Ulaya. USA ndio anailinda Ulaya na maslahi ya Ulaya duniani.
Albania, Latvia, Iceland, Lithuania, Macedonia, Montenegro maoni yao sii muhimu nchi tano kuu muhimu. Vilevile kwenye EU, UN.
UN inaweza kukamishwa na nchi moja muhimu japo 150 zimekubali hitimisho.
Tunacho sahau hapa sote ni kuwa hawa wateuzi wao (hao akina Mkunda), wanawajuwa ndani kabisa. Wamepewa nafasi hizo kwa sababu wanajulikana ni watu wa aina gani.Hadi mkundaaa ni bonge la falahana lolote na kichwani ni. Mweupee sana yule dingi.
Ukitaka kuamini yule ni bonge la kilaza angalia ile video siku ila anasoma notes (slides) alizoandikiwa na msogaa
Yule FDC ni bonge la boyaaa aisee
Tz hatuna jeshi, hatuna teeth