Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Kuna jamaa nilimwambia Kalamu kuhusu hiyo issue ya JWTZ wapo lockdown ,wanaotoka ni wale wenye kazi maalum tu na siku ya tukio kuna baadhi ya JWTZ waliwafamua ubongo magaidi wa ABDUL kwasababu walikuwa wanaua watu hovyo hovyo.
Yes kuna mmoja alipokonywa bunduki alafu akasakiziwa kwa raia
 
Doctrine ya "You're with us or against Us"; imedumu muda mfupi sana hadi akina New Zealand nao wakaanza kuwa sehemu ya NATO!

Sasa wewe unazungumzia habari za mpito. NATO malengo yake hayakuwa hivyo na hayajawahi kuwa hivyo kama unavyo yaelezea hapa.

A unipolar world is no longer with us.
Nato ni wazo la UK, USA kuzuia vita nyingine ya dunia. Ndio wawili kati ya founding members wengine waliongezwa huko mbeleni.

Lengo lilikuwa kujihami dhidi ya USSR. USSR imekufa sasa hivi wanafanya matakwa ya nchi muhimu, pia kujitanua.

Ni mara ya mwisho kuna naongea wana operations nyingi tu zisizo rasmi sio lazima wewe ujue, Albania akubali.

Ni asset za media kama BBC, CNN, AP, zitumike pamoja na soft powers zingine kama kujua maongezi yake yote na hard power.

Kutoa location ya Samia, Abdul, Chief of Staff, Mombo, kutuma asset kama satellite, movements of troops, kuwateketeza, kudhibiti sehemu yoyote muhimu hivyo ni vitu wanavyoweza kufanya bila kukuambia wewe au Albania.
 
Ni kweli nilishuhudia kwa amcho yangu jamaa alikuwa anapiga ovyo mjeda akamuonya akaendela zikamwishia akampokonya bunduki alafu akamsakizia kwa raia uliza watu waliofika magomeni au manzse
 
Nato ni wazo la UK, USA kuzuia vita nyingine ya dunia. Ndio wawili kati ya founding members wengine waliongezwa huko mbeleni.

Lengo lilikuwa kujihami dhidi ya USSR. USSR imekufa sasa hivi wanafanya matakwa ya nchi muhimu, pia kujitanua.

Ni mara ya mwisho kuna naongea wana operations nyingi tu zisizo rasmi sio lazima wewe ujue, Albania akubali.

Ni asset za media kama BBC, CNN, AP, zitumike pamoja na soft powers zingine na hard power.

Kutoa location ya Samia, Abdul, Chief of Staff, Mombo, kutuma asset kama satellite, movements of troops, kuwateketeza, kudhibiti sehemu yoyote muhimu hivyo ni vitu wanavyoweza kufanya bila kukuambia wewe au Albania.
So, how does all that fit into our own situation in Tanzania.

Tuwasubiri NATO, au askari wao waje hapa kutulettea ukombozi kutoka kwa hawa watu walioamua kututeka kwa nguvu?

Kwa nini tujipe matumaini ya hovyo kama hayo; kwamba mmoja wetu sijui yupo huko NATO kama mwanajeshi!!

Hata kuliwazia tu jambo la namna hii ni kupoteza muda tu.

Samia na Genge lake wametupa nafasi muhimu sana ya kubadili mwelekeo wa nchi yetu. WaTanzania wenzetu tayari wametangulia mbele zahaki, kama mchezo mchezo tu; kwa sababu ya ulaghai na uongo wa Samia na Genge lake. Tutaendelea kuumizwa sana, lakini ni lazima tujitahidi kuwakabiri hawa wauaji hadi wasalimu amri.
Kazi ya ukombozi ni ngumu, tusitegemee itapatikana kesho au kesho kutwa. Tupambane hadi ukombozi kamili upatikane; au vinginevyo tuwe kama Somalia na Sudani; au hata Uganda kama wanavyo tarajia Samia na wenzake.
Lakini hii ya Uganda, pengine Samia tayari kisha ivuruga kwa mauaji ya kikatili kama haya yaliyo tokea juzi.

Anao umri wa miaka 60 (nadhani?); bado anajiandalia maisha ya upweke sana mbele ya safari. Akina Roger Lumbala wa DRC wanaanza kuvuna walicho panda wakati wakiwa kwenye umri kama wake.
 
Mkuu kunampasuko siyo wa level ya kawaida ,hii ya kugonga watu vyuma ndiyo kama imemwaga pilipili kwenye vidonda vibichi.

Mkuu kunamikakati mingine naogopa hadi kuiongea .

Muhimu chakushika ni kwamba kesho ya Tanganyika ni njema sana ,tena mnooo

ishi humo.
Tuliambiwa wamejipanga kuelekea MO29. Hadi mtaani tulikuwa nao tunawashangilia. Lakini walifanya nini? Kitu gani kiliwashinda na sasa watakiweza?
 
Kwani wewe huoni aliye waweka watu hao kwenye nafasi hizo alikuwa na maana gani? Hili nalo unataka hadi uambiwe?

Hatujui hao watu waliowekwa kwenye nafasi hizo dhamira zao zikoje,; lakini tunachojuwa bila ya shaka yoyote ni dhamira ya huyo aliye waweka kwenye nafasi hizo.
Na sisi tunajua hii vita yenu na uyu mama ni sbbu ya dini yake tu hamjawai kuacha izo fitna miaka na miaka ndo maana na sisi tunamuunga mkono mbali na kua hatuipendi ccm,
Ngoja aje mkatoliki mwenzenu 2030 tuta wasapoti kumtoa.
 
So, how does all that fit into our own situation in Tanzania.
Tumefanya kazi tayari. Immense sacrifice.
Tuwasubiri NATO, au askari wao waje hapa kutulettea ukombozi kutoka kwa hawa watu walioamua kututeka kwa nguvu?

Kwa nini tujipe matumaini ya hovyo kama hayo; kwamba mmoja wetu sijui yupo huko NATO kama mwanajeshi!!

Hata kuliwazia tu jambo la namna hii ni kupoteza muda tu.
Hakuna mtu anesubiri yoyote. Labda wewe.
Samia na Genge lake wametupa nafasi muhimu sana ya kubadili mwelekeo wa nchi yetu. WaTanzania wenzetu tayari wametangulia mbele zahaki, kama mchezo mchezo tu; kwa sababu ya ulaghai na uongo wa Samia na Genge lake. Tutaendelea kuumizwa sana, lakini ni lazima tujitahidi kuwakabiri hawa wauaji hadi wasalimu amri.
Kazi ya ukombozi ni ngumu, tusitegemee itapatikana kesho au kesho kutwa. Tupambane hadi ukombozi kamili upatikane; au vinginevyo tuwe kama Somalia na Sudani; au hata Uganda kama wanavyo tarajia Samia na wenzake.

100% you are correct. Tusitegemee mteremko.
Lakini hii ya Uganda, pengine Samia tayari kisha ivuruga kwa mauaji ya kikatili kama haya yaliyo tokea juzi.

Anao umri wa miaka 60 (nadhani?); bado anajiandalia maisha ya upweke sana mbele ya safari. Akina Roger Lumbala wa DRC wanaanza kuvuna walicho panda wakati wakiwa kwenye umri kama wake.
Hawezi kupata maisha ya amani Tanzania yeye na genge lake. Ukiua familia, kuna nini cha kuishi, kuwa motivated kuamka asubuhi?

Haki, ukweli, uwajibikaji ndio utaponya majeraha mioyo yetu.

Wanaweza kutuua kwa malaki, mamilioni, ila watakaoishi ndani ya hii ardhi hii watapata ukombozi, kuishi kama binadamu kamili.
 
Hii ni wake up call kwa walio ndani ya CCM. Mwaka 2015 waaliambiwa wanatakiwa kubeba ya chama tu na si mengineyo na chama ni mwenyekiti. Sasa kama yeye aliacha kazi akitegemea mama atajiuzulu waruhusu mgombea mwingine arudi katika ulaji. Matokeo yake wameshamuua kijana wa watu. Alivyoacha kazi alitakiwa aongelee katiba mpya.
Mkuu mimi mpaka Leo huwa najiuliza ilikuwaje Polepole alikuja bongo... yule jamaa aliji risk sana.
 
"endelea kunywa wine na nyama choma tuu kwa raha zako"

Imerudiwa mara 3 mpaka 4 hivii. Ni message na aliyetumiwa ujumbe ameupokea, Inshaallah atatekeleza alichoagizwa🙏
 
Kwa nini hizo 'operations' usizikubali kuwa za nchi husika badala ya kuwa za NATO.

Kwanini unapenda kupindisha maneno. Tanzania ilikuwa na maslahi gani kuishambulia Iraq. Nchi nyingi zimepinga vita vya Ukraine, Yemen, Gaza, Syria, Lebanon. Kwanini vinaendelea au kusitishwa?

Ni mpaka US, UK, German, France ziamue.

Ni nchi chache husika wabobevu katika kutumia vyombo vya kimataifa vya kivita, vya habari, hadi vyenu vya ulinzi, usalama wamevitengeneza wenyewe.

Hata vya ndani Rais anakula nini? Anaongea na nani wanajua, Jinsi ya kumdhibiti.

kuweka kanuni, sheria na kujipa mamlaka,, maeleweno kwenye vyombo vikuu vyote duniani yasiyo rasmi.

Wataingilia kukiwa na uvunjaji mkuu wa sheria kuathiri maslahi yao, image zao.
 
mwananchi anauliwa , majeshi ya kigeni yanaonekana , wao wanaact kwa matakwa ya nan ?

Nyiny vilaz ni swala la muda mtakuja kuelewa haya malalamiko ya watu

wakiwamudu raia wataanza hata kuwaua na niny
Weweeee mimi mwenyewe nimeshiba zangu ugali mchicha..siandamani bila kua na chuma...tumeshajua jeshi halisaidii wananchi....nipewe lapua magnum 50 calliber usikilizie milio
 
Father Ni muda sasa sisi kama Gen Z tuwe na jeshi letu. Hatuoni umuhimu wa kuwa na jwtz. Kuna vijana wengi mno wamepitia jkt na wapo mtaani.

Ni maoni yangu kuwq wapewe siraha tuwe tunajirinda wenyewe. Hili jeshi la ccm libadirisjwe jina kabisa liwe JC(Jeshi la CCM)


Kuendelea kujiita jwtz ni kututukana watanzania matusi ya nguoni.

Sio kwamba jeshi hili tulikuwa hatulipendi la hasha lakini heshima na thamani yao kwa wananchi wameipoteza na kuinyea wenyewe kwa kukubali vipande vya fedha!

Kama kweli waliapa kulinda katiba je ni katiba ipi wanayoilinda leo hii?

Kama kweli waliapa kulinda mipaka ya nchi je ni mipaka gani wanayolinda leo hii kama Samia alisema mbele yao kuwa walio andamana ni watu kutoka nje ya nchi na sio watanzania maana hiyo Jeshi halilindi mipaka yake tena.

Kama raia wa nchi jirani anapita mpakani na kuingia nchi jirani kufanya vurugu na uharibifu hadi hapo tuna jeshi sasa? Achilia mbali wale wadunguaji nao inasemekana walitoka Uganda na Zanzibar.


Nikusema hakuna kazi linafanya hadi sasa.
Jeshi lipo shap kushughulikia mtu aliye vaa sare zao ila haliko tyr kushukika na watekaji haliko tiyari kulinda raia hata wakiuliwa mbele yao ni sawa.

Wazi sasa Gen Z ndo mwenye uchungu na nchi yake na ndo mzalendo No1 kwenye nchi hii na si vinginevyo.

Tuwe na Jeshi la Gen Z na imani nchi itarudi kwenye heshima yake.
Naunga mkono hoja
 
Wewe ni Matako kila siku ikianza mada lazima umtaje marehemu yule alishakufa kwani kuna kitu gani cha maana kimepiga hatua baafa ya yeye kufa, niambie kama kuna kupiga hatua kokote? zaidi ni kwamba hali ndio imekuwa mbaya zaidi, yeye amefanya sehemu yake ameshaondoka kama kuna sehemu alikosea waliopo si warekebishe, mbona kila siku mada itakayoanzishwa wewe jamaa lazima umtaje magufuli kwani alikufanyaga nini
Aliturudisha nyuma sana wafanyabiashara wazawa akawakumbatia wahindi na waarabu. (Home shopping centre iliyokuwa inaongiza mizigo bandarini kipindi cha Kikwete ikawa GSM)Hao waahindi na waarabu walikuwa na dili chafu za kuiba hela. Wenye biashara halali kama hoteli n.k wengi walifungiwa akaunti na kunyang'anywa fedha. Ninajua watu waliokufa kwa presha kwa sababu hii. Kipindi chake kina Makonda wanakuja wanachukua gari yako na hufanyi chochote. Sabaya analikuwa anabadili hoteli za kulala kama nguo na halipi. Kuna Mzee mmoja wa Asante tours Sabaya alilala na kula kwake bure yeye na kikundi chake mpaka ikabidi afunge hoteli kwa muda. Magu aliirudisha nchi nyuma sana aisee.
 
Ni kweli nilishuhudia kwa amcho yangu jamaa alikuwa anapiga ovyo mjeda akamuonya akaendela zikamwishia akampokonya bunduki alafu akamsakizia kwa raia uliza watu waliofika magomeni au manzse
WAlimpaka mafuta wananchi??
 
Back
Top Bottom