Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Nakusaupport kwa 200% hili nimelishuhudia mtaani kwetu..
Policcm walikimbizwa vibaya na bakabaka kisa walipita wakapiga mabomu ya machozi wakati raia wametulia
Sisi mtaani walipita wakiwa na pikipiki wanatafuta gari za polisi zinazoua wananchi na waliuliza mpaka plate namba za gari kma tunazijua.
Na hapo ni mda mchache asikari walipita na gari yao wakamtandika risasi ya tumbo dogo ambae kafungua kiduka cha kuuza vinywaji hafu ni cha mwanajeshi.Alichukuliwa na kupelekwa Lugalo kupata matibabu, bahati nzuri hakufariki.
Niko na jirani mwanajeshi kabisa hiyo siku alikasirika sana baada ya hilo tukio akawa anapigia wenzake simu na kuwaambia jamaa wanapita mtaani wanapga watu risasi bila sababu.
 
Kumpigania pole pole ni kupoteza muda,

Isingekuwa JPM style yakuteka na Kua ,kuvuruga upinzani hii Nchi ingekuwa salama this Election 2025=kilichofanyika ni copy & Paste , JMP alichangia kuharibu mifumo ya utawala Bora na haya ndio matunda aliyotuachia japo alikuwa na mazuri yake pia.
Tufanyaje sasa? Utetezi wa wahuni huu. Divide and rule.
 
Sijui kwa nini waTanzania tunarudi kinyumenyume kiasi hiki katika uelewa wa mambo mengi ya kidunia. Ingetegemewa kwamba mtu anayeweza kuingia JF na kuandika maoni yake angeweza kufahamu jambo la namna hii kabla hata ya kulizungumzia; au hata kutafuta taarifa juu yake harakaharaka!

Kwa nini nchi yetu tunazidi kuwa wajinga?
Huwaga mnachekesha kwa kujiona ni wanjanja sana dunia nzima. Msaada unaweza kuwa logistics, intelligence, organisation wote clandestine.

Iran, Iraq, Somalia, Ukraine, Russia, Syria, Lebanon, Palestine zimetokea operations kibao kuua viongozi muhimu au attempting regime change nchi za NATO zikishiriana ila sio official.

Msaada unaweza kutokea nchi hata tatu za NATO, Nato ni neno tu kuwakilisha USA, nchi muhimu washirika. usichanganyikiwe.
 
Alikuomba umtetee?

Wewe ni mnafki kujibaraguza hapa, kama unashangilia shangilia mazima.

Sio uzi huu unashangilia ule unajidai kuchukizwa.

Wewe umefurahia kupotezwa kwa Humphrey inatosha, maelezo mengine hayana maana sijui magufuli nini nini.

Hayatusaidii kitu, we furahi tu.
Hii ni wake up call kwa walio ndani ya CCM. Mwaka 2015 waaliambiwa wanatakiwa kubeba ya chama tu na si mengineyo na chama ni mwenyekiti. Sasa kama yeye aliacha kazi akitegemea mama atajiuzulu waruhusu mgombea mwingine arudi katika ulaji. Matokeo yake wameshamuua kijana wa watu. Alivyoacha kazi alitakiwa aongelee katiba mpya.
 
Unajua unachekesha ? Kwanini unampangia cha kuongea?

Si uongee wewe ?

Kama unashangilia yaliyompata we shangilia kwa uhuru tu, sio alipaswa aongelee hichi asiongelee hichi.
 
Huwaga mnachekesha kwa kujiona ni wanjanja sana dunia nzima. Msaada unaweza kuwa logistics, intelligence, organisation wote clandestine.

Unaweza kutokea nchi hata tatu za NATO, Nato ni neno tu kuwakilisha USA, nchi muhimu washirika. usichanganyikiwe.
Sasa hapa wewe unataka kueleza kitu gani hasa; mbona unajichanganya hovyo hovyo tu!
Hujui maana ya NATO ni nini na ni namna gani na kwa sababu zipi iliundwa?

Kama unajisikia "kuchekeshwa", halafu unabandika maneno yasiyoonyesha unajuwa lolote juu ya hicho kinachokufanya ucheke, wewe ni mtu wa kucheka hovyohovyo!

Kwa jinsi ulivyo andika hapa, ni wazi hujui kitu chochote kuhusu muundo wa NATO na majukumu yake ni nini. Unajipigiapigiatu 'incoherently' kwa kupachika vineno hivyo vya "logistics, intelligence, clandestine", bila hata unataka kueleza nini kijulikane.

Hili ndilo tatizo kubwa lililoingia hapa nchini, kujipa ujuwaji mwingi juu ya jambo ambalo mtu hajui.
 
Unajua unachekesha ? Kwanini unampangia cha kuongea?

Si uongee wewe ?

Kama unashangilia yaliyompata we shangilia kwa uhuru tu, sio alipaswa aongelee hichi asiongelee hichi.
Tayari na wewe usha mpangia cha kuongea, huyo uliye mjibu!
 
Unajua unachekesha ? Kwanini unampangia cha kuongea?

Si uongee wewe ?

Kama unashangilia yaliyompata we shangilia kwa uhuru tu, sio alipaswa aongelee hichi asiongelee hichi.
Inabidi kuwauliza hawa, ndugu zao wakitekwa, familia zao zikivamiwa watafanya nini?

Jitihada zozote, chochote watakachofanya kuwarudisha ndugu zao tuite mikwara, kejeli, dhihaka?
 
Kuna loading>>>>>> inakuja tanzania unajua mpaka sasa mkuu wa majeshi na alichofanya nyerere kambi za jeshi kutotambuana ndio kinamfanya samuya na mkuu wa majeshi kuishi dodoma
Wa Msangani hamjui wa Ngerengere 😆
 
Sasa hapa wewe unataka kueleza kitu gani hasa; mbona unajichanganya hovyo hovyo tu!
Hujui maana ya NATO ni nini na ni namna gani na kwa sababu zipi iliundwa?

Kama unajisikia "kuchekeshwa", halafu unabandika maneno yasiyoonyesha unajuwa lolote juu ya hicho kinachokufanya ucheke, wewe ni mtu wa kucheka hovyohovyo!

Kwa jinsi ulivyo andika hapa, ni wazi hujui kitu chochote kuhusu muundo wa NATO na majukumu yake ni nini. Unajipigiapigiatu 'incoherently' kwa kupachika vineno hivyo vya "logistics, intelligence, clandestine", bila hata unataka kueleza nini kijulikane.

Hili ndilo tatizo kubwa lililoingia hapa nchini, kujipa ujuwaji mwingi juu ya jambo ambalo mtu hajui.
Wewe ni mpuuzi mmoja ni mjuaji, mtu mmoja mbishi sana. Wengi tayari wamekwambia hivyo hapa JF.
 
Kuna loading>>>>>> inakuja tanzania unajua mpaka sasa mkuu wa majeshi na alichofanya nyerere kambi za jeshi kutotambuana ndio kinamfanya samuya na mkuu wa majeshi kuishi dodoma
Mkuu, kila jeshi duniani limejengwa kwa huu mfumo kwa kutumia kanuni mbili i.e “Need-to-Know” na Compartmentalization.

1. Need-to-Know
Kila askari au mfanyakazi anapata taarifa zisizozidi zile anazohitaji kwa kazi yake
Hii inazuia uvujaji wa siri na kueneza taarifa nyeti kwa watu wasio husika

2. Compartmentalization (Ugawaji wa Taarifa)
Taarifa nyeti hugawanywa katika “compartments” ndogo
Kila mfanyakazi anaweza kuona tu taarifa zinazohusiana na kazi yake
Hii inalinda taarifa nyingine zisivunjike hata kama sehemu moja ina-asi
3. Faida
Inapunguza hatari ya uvujaji wa taarifa
Inahakikisha kila mfanyakazi anajua kile anachohitaji tu
Inasaidia kudumisha usalama na nidhamu ndani ya jeshi
NB: Hizi kanuni zinatumika mpaka kwenye ku-handle silaha i.e kuamua ni nani ajue silaha fulani ziko wapi etc..
 
Mimi sio mnafiki siwezi kutetea mtu ambaye anamwona Magufuli ni malaika. Polepole alitakiwa afuelezee tumefikaje hapa tulipo. Na ili kuokoa taifa CCM iondoke katika uongozi. Kushindwa kufanya hivyo kuuliwa kwake kuwe funzo kwa wengine.
Ameuliwa lini?
 
Kuna covert operation nyingi duniani zinafanywa na wanachama wa NAT0 kama UK, USA, France. Elewa tunaposema NATO ni umbrella organisation.

Nyerere alisaidiwa mara nyingi kuzima mapinduzi na kurudishwa madarakani.

Of course ni jukumu letu ndio maana watu zaidi ya 10,000 wamepoteza maisha, maelfu kujeruhiwa na wengi wanashikilia kwenye mashimo mbalimbali Tanzania wakiteswa.
Mkuu, hujui NATO ni nini!
Hakuna nchi mwanachama wa NATO anayejiamuria kufanya kazi kwa niaba ya wengine kama unavyotaka kueleza hapa.
 
Kuna jamaa nilimwambia Kalamu kuhusu hiyo issue ya JWTZ wapo lockdown ,wanaotoka ni wale wenye kazi maalum tu na siku ya tukio kuna baadhi ya JWTZ waliwafamua ubongo magaidi wa ABDUL kwasababu walikuwa wanaua watu hovyo hovyo.
Hili la kutokutoka makambini kwao ni kweli kabisa. Walipewa tangazo
 
Malaika ambaye mlinzi wake kamkataa na yupo pamoja na wahuni. Malaika ambaye binti wake wa kumzaa kamkataa yupo pamoja na wahuni. Malaika ambaye alichezea pesa nchi ikawa haina hela mpaka akamleta Rostam na kumlamba miguu. Malaika alieanzisha ubabe ambao leo hii Samia anautumia. Tanzania bado sana, CCM waibe mpaka tuwe kama Congo nikirudi nipige hela kama Katumbi maana nchi imejaa wajinga.
Hata usemaje magufuli ni Malaika nyie majizi ndio mnamchukia jiwe
 
Mkuu, hujui NATO ni nini!
Hakuna nchi mwanachama wa NATO anayejiamuria kufanya kazi kwa niaba ya wengine kama unavyotaka kueleza hapa.
Wewe pekee ndio unajua NATO ni nini hapa JF, Tanzania na kanuni zao.

Nimekusoma mara nyingi ubishi wako mwingi hauna kichwa wala miguu.
 
Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni

Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Tuwekee hapa tuione na sisi ambao hatujaiona!
 
Wewe pekee ndio unajua NATO ni nini hapa JF, Tanzania na kanuni zao.

Nimekusoma mara nyingi ubishi wako mwingi hauna kichwa wala miguu.
Sijasema hayo uliyosema wewe.
Lakini nilicho nacho uhakika juu yake ni kwamba wewe hujui NATO ni nini kutokana na maelezo unayotoa.

Hilo la ubishi, haliwezi kunizuia nisikatae uijnga unaotaka kuueneza humu JF.
Huwa sitaki ujinga ujinga.
 
Back
Top Bottom