Hivi kama hapa kuna mmeru na mwenzake mchaga pale kuna mnyaki huku yupo mkurya, wote vinanda, utachagua wapi?

Hivi kama hapa kuna mmeru na mwenzake mchaga pale kuna mnyaki huku yupo mkurya, wote vinanda, utachagua wapi?

Ngoja nikusaidie kukupangia list
1. Mnyaki (Hana shida)
2. Mkurya (Inabidi nijifunze kutandika ngumi)
3. Mmeru (Inabidi nijifunze ukorofi plus kuvuta bangi)
4. Mchaga (Sina Cha kutumaini ila damu yake Bwana)

Hii namba 4 nimeshakata tamaa na maisha na nimeshakubaliana na Kila kitu.
 
Hapo kwenye kupata pisi vinanda kwenye hayo makabila umetupiga mzee, labda mchaga, mnyaki kinanda hiyo ni kamba.
 
Back
Top Bottom