Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
anatafutwa mtu awekwe hapo ila awe na maadili ya uongozi na uzoefu usiopungua miaka 10
Uzoefu wa nini? wa ufisadi na uchakachuaji au?
anatafutwa mtu awekwe hapo ila awe na maadili ya uongozi na uzoefu usiopungua miaka 10
Hapana mke wa rais huwa hampangii rais nyumba ndogo, na rais ili akili yake ichangamke anahitaji nyumba ndogo kama mimi, na hasa first lady akiwa haeleweki kabisaaaaaa
Nimenunua tindikali yenye polonium.
Bado unataka kuwa nyumba ndogo.
mmmh,
kuna hatari ya kuwa na nyumba ndogo
nyingi sana hapa,
Inabidi tupange mikakati ya kuzuia hii hali.
Bora umekuja unisaidie.
Wanaona vinaelea wanadhani nimevifunga maboya?
nimekiunda mwenyewe, tena waniachie kabisa.
Ukiwa FirstLady naandaa maandamano ya Amani kupinga hilo....Bora umekuja unisaidie.
Wanaona vinaelea wanadhani nimevifunga maboya?
nimekiunda mwenyewe, tena waniachie kabisa.
Ukiwa FirstLady naandaa maandamano ya Amani kupinga hilo....
Usije ukam camerun prezdaa wetu maana hueleweki ME au KE
waziri mkuu mwenyeweee kama lowassa nidhamu mia mia
Ukiwa FirstLady naandaa maandamano ya Amani kupinga hilo....
Usije ukam camerun prezdaa wetu maana hueleweki ME au KE
Atasema mwenyewe kama hataki, sio waanze kujipitisha lol
waziri mkuu mwenyeweee kama lowassa nidhamu mia mia
Erickb52 utakuwa waziri wa
manunuzi yote ya serikali na kusimamia kontena zote zinazoingia na kutoka bandari.
Hivi tutababi na bandari kweli?
Dah hicho kitengo kizuri sana....ila tatizo hakina umaarufu sana so hata nikitaka kugombea uprezidaa sitaweza....Erickb52 utakuwa waziri wa
manunuzi yote ya serikali na kusimamia kontena zote zinazoingia na kutoka bandari.
Hahahahahaaaa kwanza nitaihamishia Bagamoyo ili kuongeza utendaji wa bandari....Hivi tutababi na bandari kweli?
Kwa hali ya kawaida hawezi kukubali uwe FL hata kidogo....labda uwe Firstlady wa waziri wa NyukiAtasema mwenyewe kama hataki, sio waanze kujipitisha lol
Dah hicho kitengo kizuri sana....ila tatizo hakina umaarufu sana so hata nikitaka kugombea uprezidaa sitaweza....
Ila kiuchumi ntakuwa juu sana....niachie hikihiki sitaki uwaziri wa mambo ya nje tena...
Hahahahahaaaaasafi sana,
haya mambo hayataki haraka,
mwanzo wa kurizika na kitengo ni dalili ya
mafanikio ya FL kuendelea na milki yake.
yasije mkuta ya yule mfalme wa kuchukua vinwana kila mwaka
si ataruka kichaa kabisa huyu, mmmh hapa nina kazi ya ziada.