Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
dah, umeweza nichekesha leo? Weye kiboko.
Nilikuwa nimenuna siku nzima, sasa nimecheka kimsamba kwa kweli.
Nilikuwa nimenuna siku nzima, sasa nimecheka kimsamba kwa kweli.
safi sana,
haya mambo hayataki haraka,
mwanzo wa kurizika na kitengo ni dalili ya
mafanikio ya FL kuendelea na milki yake.
yasije mkuta ya yule mfalme wa kuchukua vinwana kila mwaka
si ataruka kichaa kabisa huyu, mmmh hapa nina kazi ya ziada.
