Lakini Mama nanii unajua Kongosho hajakili wazi yuko na nanii gani?Cantalisia nipokee mama yako
endelea na kazi ya kuhakikisha kongosho
anabaki na milki ya u FL kwa the boss.
Hahahahahaaaaa
Kazi unayo kwa Kongosho sasa....
Kwanza anahitaji maombi sana huyu
Lakini Mama nanii unajua Kongosho hajakili wazi yuko na nanii gani?
Alimtongoza Canta jana eti akiwa Prezidaa anataka Canta ndo awe FL...
Leo amekuja na jinsia nyingine eti anautaka U-FL....Lol
Basi nitawapa wote since na wewe una jinsia mbili au waonaje, ila mpaka ipitishwe na mshauri mkuu wa prezidaa ambaye ni Michelle kaninong'oneza Prezidaa, raha ya nyumba ndogo kuna siri nyingine unapewa hata nyumba kubwa hapewi si unajua lakiniNi bora ninyang'anywe uPM kuliko firstlady, first lady hachaguliwi na wananchi, huyo ni chaguo la Prezdaa.
Khah, yaani ashinde ulaisi afu mumletee nyumba ndogo? Mna utani na mie.
Hapana mke wa rais huwa hampangii rais nyumba ndogo, na rais ili akili yake ichangamke anahitaji nyumba ndogo kama mimi, na hasa first lady akiwa haeleweki kabisaaaaaa
Nimenunua tindikali yenye polonium.
Bado unataka kuwa nyumba ndogo.
Hahahahahaaathe boss ndo angesema ukweli,
lakini kuna wakati jamaa yake mmoja alimchanganya huko sinza
akapitisha greda likakomba nyumba yote.
Uuuuuwi sweetheart naomba utulie kwa sababu natafuta tu nafasi japo kale kakisiwa tukaongoze mimi na wewembona raisi ana nyumba ndogo kila kata hapa TZ lakini akili zake hazijui kwanini wananchi ni masikini?
Dah hicho kitengo kizuri sana....ila tatizo hakina umaarufu sana so hata nikitaka kugombea uprezidaa sitaweza....
Ila kiuchumi ntakuwa juu sana....niachie hikihiki sitaki uwaziri wa mambo ya nje tena...
Lakini Mama nanii unajua Kongosho hajakili wazi yuko na nanii gani?
Alimtongoza Canta jana eti akiwa Prezidaa anataka Canta ndo awe FL...
Leo amekuja na jinsia nyingine eti anautaka U-FL....Lol