safi sana,
haya mambo hayataki haraka,
mwanzo wa kurizika na kitengo ni dalili ya
mafanikio ya FL kuendelea na milki yake.
yasije mkuta ya yule mfalme wa kuchukua vinwana kila mwaka
si ataruka kichaa kabisa huyu, mmmh hapa nina kazi ya ziada.
Hahahahahaaaaa
Kazi unayo kwa Kongosho sasa....
Kwanza anahitaji maombi sana huyu
mi nishawambia mpeni kongosho awe waziri asiye na wizara maalum, ohooo nyie kazaneni kumpa ufirst lady muone kitu atamfanya prezidaa, haayainabidi mkemia mkuu wa serikali afanye uchunguzi wa jinsia ya kongosho
9yie watu, Mamndenyi, Ricky, Mussolin na Blackberry, mmenichekesha sana.
Natoa tamko,mie ni firstlady na PM period.
Mkilemaa, mnakuta watendaji wa kijiji nkasi
hahahaaTena mchungaji awe ODM. Amwombee laisi lakini ili asiwowe wowe kila mwaka.
mi nishawambia mpeni kongosho awe waziri asiye na wizara maalum, ohooo nyie kazaneni kumpa ufirst lady muone kitu atamfanya prezidaa, haaya
Kwa ubunifu sikuwezi, wewe unafaa kua yule waziri aliyeanzisha MKUKUTA na MKURABITA.
ngoja erickb52 aje atoe uamuzi wa mwisho wewe uchukue position gani maana kichwa kinauma kuhusu position yko ya u-first lady
Teh teh teh!Haya bana.Hahahahahahaaa serikali ya Jf huwezi ishinda...
Labda tukufanyie mpango wa wizara ya wenye ndoto za kuwa rais
nahisi prezdaa angekuwa Bishanga
Prezdaa raisi msaidizi angekuwa watu8
Waziri mkuu angekuwa Bujibuji
Spika wa Bunge angekuwa Mamndenyi
Waziri wa afya angekuwa Erickb52
Waziri wa jinsia ya wanawake na watoto ningekuwa mm ladyf
Waziri wa miundo mbinu angekuwa Mwita Maranya
Waziri wa vijana angekuwa Kipaji Halisi
Waziri wa Elimu angekuwa Mentor
Waziri wa michezo na burudani angekuwa stevoh
Daaa ladyfurahia umenipa kazi ngumu sana
hawa wabunge wa chama cha upinzani si watanitoa nyongo.