hii wizara ni ngumu sana wewe kuipata
ina watu wazito sana kama:
kimbweka,
blackrhino,
rungu,
gambalanyoka,
kayoka,
njowepo,
elitoro,
young_master,
jestina,
na wengine wenye majina makubwa sana
je unaweza kupambana nao.
Wapi huko?Kuna siku nilikuona jukwaa fulani lol
waziri hawezi kukataa uteuzi,uwe unaheshimu maamuzihapa nakata rufaaaa!!
1. hiyo wizara uliyoniweka ni sawa na kusema Waziri Six, Naibu EL, Katibu Slaa!!! wapi na wapi?
2. hao watatu sijui utakuwa ni utatu upi huo?
3.kwenye udaku simo labda hii wizara kama akipewa Excellent, Mentor na Jaguar hawa ni manguli wa jukwaa la jokes kule!
Yan ww acha tu,Alafu ni marufuku kutoa siri za ukaguzini,ukitaka kujua nenda kakaguliwe!!Hahahahaaa ukaguzi wake una utata sana eeeeeeh
Mi nitakuwa first lady, nakaa ndani tu nampikia prezidaa, kazi yangu kujiremba tu,na kumpa ushauri wa maana kiongozi
Asprin huyu hawezi kuwa msaidizi wako....Hakika ntakuteua uwe msaidizi wangu ntakapoukwaa ugavana wa benki kuu.
Kwamba??? mapenzi hayachagui,hata akiwa shamba boy ilimradi moyo umeridhiausitembee na shamba boy au dereva tu.
Angel unayaweza majungu??ningependa sana nipewe nafasi ya bi kiroboto
Wala sitaki anikague...Yan ww acha tu,Alafu ni marufuku kutoa siri za ukaguzini,ukitaka kujua nenda kakaguliwe!!
Cha ajabu Babu hakagui wajukuu wa kiume lol!
Haahhahaaa ntakuambia private lolWapi huko?
Mbona hukunistua shem?
ningependa sana nipewe nafasi ya bi kiroboto
Wapi huko?
Mbona hukunistua shem?
prezdaa - theboss
makamu - ashadii
prime minister - kongosho
spika - mtambuzi
waziri wa fedha - mamndenyi
ulinzi - bujibuji
Wizara ya Udaku,Majungu na Ulevi
Waziri: Bagah
Naibu: Mtei One
Katibu: Smiling Saint
Wizara ya Mahusiano na Mapenzi na Kulinda Ndoa
Waziri: Cantalisia
Naibu: SweetLady
Katibu: Husninyo
Wizara Ya Kudunga watu Bann
Waziri:............
Naibu:.............
Katibu:............
Wizara ya Jokes
Waziri: Excellent
Naibu: SI Unit
Wizara ya Wanawake na Wanaume(Wote)
Waziri: Kongosho
Hana Naibu wala Katibu