Hivi kama JF ingekuwa ndo Serikali nani angekuwa Prezda, vice prezda,prime Minister, spika?

Ana maana jukwaa la usiku! Yeye atakua amekuona, na wewe hukumuona kwa kua wkt akiwa huku unamtambua kwa Jazz za Man U, lkn while akitumbukia kule huingia kwa Uzi wa Chelsea !
Heehe hehheh
Umesomeka swaiba,
Salama lkn?
 
uwe katibu mwenezi na mambo ya propaganda
wa chini yako watakuwa wanaume tu tena
miaka 55 na kuendelea.
Yani mm na ma cv yangu niwe katibu mwenezi?
Alafu tena bado haitoshi mnanipa wasaidizi wanaume?na hamjakomea hapo mnanipa wenye zaidi ya 55 wakati mm ndio kwanza 33 lol!!naenda CDM,bakini na ufisadi wenu wa kujipa mavyeo,serikali yenu imepoteza muelekeo na dila,ngoja nimfuate mallya tuu.
 
unamtaja kongosho,
una utani na theboss wewe eeh,
tena ndo president humu hakuna aliyejitokeza kumpinga,

au umeshikilia ule msimamo wako wa kuwa 'first lady'
hapa sijui, labda maombi maalum yafanyike, kongosho ni nomaa.

Mi sijafanya maombi ya u"first lady" hiyo title ntaipata automatically iwapo erick akipata urais.. Btw the boss kumbe ndo kesha pitishwa eeh?
 
Chezeiya Baby ya Konnie?

Iko juu, bora uniombe hata ushostito nitakuwa sikuachi vakesheni.

Mi sijafanya maombi ya u"first lady" hiyo title ntaipata automatically iwapo erick akipata urais.. Btw the boss kumbe ndo kesha pitishwa eeh?
 
Mi sijafanya maombi ya u"first lady" hiyo title ntaipata automatically iwapo erick akipata urais.. Btw the boss kumbe ndo kesha pitishwa eeh?
Wasikutishe mumy...hakuna prezidaaaa anayefaa kama mimi basi tu sitaki kuwa msuluhishi ma maugomvi yao ya siasa
 
ushapitishwa tena na raisi.

Amekubali, kukupa hiyo nafasi.

Usisahau 10% yangu ya EPA.

Ni bahati iliyoje PM mwenyewe ndo asali ya ODM. PM, hebu twende PM tukajadili mustakabali wa benki yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…