UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Mkuu sie na Marekani na waingereza wapi na wapi? Mkuu huku hata ukifanya mazingaombwe tu kwenye eneo la watu wengi basi watu wanajazana kuangalia na kuacha shughuli zao. Sasa ikija mikusanyiko kama hiyo watu lazima wajae tu kushangaa shangaa hasa ukiwawekea na muziki ndio kabisa wanaburudika.Wana wema,
Naomba kuuliza nini hasa maana ya kuruhusu mikutano ya siasa. Nasikia na kuona ratiba ya vyama vya siasa hasa upinzani inaonesha ni kuzunguka nchi nzima. Kufanya nini ilhali hakuna Ilani wanayotekeleza, hakuna miradi wanayokagua nk.
Nimeanza kuelewa nini ilikuwa lojiki ya katazo ya kufanya siasa wakati wa kujenga nchi. Mbona wakongwe wa demokrasia kama Marekani, India, Uingereza haya mambo hayapo? Rais Samia think twice about this situation. Tusubiri kampeni. Vikao vya ndani iwe ruksa.
Kimbembe baada ya mkutano kuisha wahoji walichoelewa baada ya kusikiliza.