THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Oscar oscar huyu anaeandika issue za utelezi daily mitandaon?Karia mitano tena, wagombea wenyewe kina Oscar Oscar?
TFF inahitaji new vision ya kijana kama Eng Hersi.
🤣🤣Oscar oscar huyu anaeandika issue za utelezi daily mitandaon?
Huyohuyo, Mzee wa kaliuaOscar oscar huyu anaeandika issue za utelezi daily mitandaon?
😁😁Ngoja nikamuulize Hajsmara atakua anajua
Angalia rekodi zake linganisha na watangulizi wake utakuja kufuta mwenyewe hii comment yakoUongozi wa Karia ndio mbovu zaidi kupata kutokea hapa bongo
Ameshajitengenezea tayari mazingira ya kutawala milele. Maana wajumbe wote amefanikiwa kuwaweka mfukoni mwake.Habari wanajukwaa la sports.
Nimejiuliza hapa sijataka kuumiza kichwa changu kutafta huko kwenye websites ya TFF na platforms zingine maana naweza kutana na majibu ya ajabu ajuae kua karia anamaliza lini uongozi wake anisaidie.
Nataka kujua tu sina influence yeyote ya kusema nitagombea hata..ila nataka kujua maybe moyo wangu utapoa nitauambia vumilia haya maumivu ya kuona TFF mbovu kwenye kila maamuzi sio mda yataisha.
Au takua ana nafasi ya kugombea tena?🤔
Ameshabadili vipengele vya hiyo katiba..nilimsikia sehemu anasema bado ana terms 2 za kugombea🚮🚮Karia muda wake unakwisha May, 2025. Na hatapaswa kugombea tena kwa mujibu wa katiba ya TFF. Mpaka kufikia mwakani muda wake utakapokuwa umekwisha Karia atakuwa amehudumu kwa miaka nane, ikiwq ni vipindi viwili vya miaka minne minne.
Kwa wale ambao hatukuwahi kumkubali Karia na kuchoshwa na uongozi wake, kwa sasa tuna wajibu huu.
1. Kuwa wavumilivu ili Karia amalize muda wake, tusimpe sababu ya kuvuruga mambo ili atengeneze sababu ya kuendelea kukaa pale hata mwezi mmoja mbele.
2. Tuanze kuwajadili na kutengeneza njia kwa wagombea bora wa nafasi ile sasa. Tusipofanya hivyo, machawa wa Simba, Yanga na CCM watatutengenezea wakina Karia wengine na tukajikuta tunawapa nafasi tena.
3. Tuanze kupiga kelele na kukosoa vikali ubovu wa Karia na wapambe wake ili wachokwe kabisa na kukosa sababu ya kubadilisha kanuni, katiba itakayofanya waendelee kukaa pale au kurejea kwa mlango wa nyuma kupitia uchaguzi.
Sina haja ya kuangalia mkuu, Karia ni kolo and itabaki hivo.Angalia rekodi zake linganisha na watangulizi wake utakuja kufuta mwenyewe hii comment yako
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukolo wake tatizo kwa mpira wa nchi ?Sina haja ya kuangalia mkuu, Karia ni kolo and itabaki hivo.
Mbn kuna wanasema ki Takwimu soka letu na ligi vimekuaa chini ya uongozi wakeUongozi wa Karia ndio mbovu zaidi kupata kutokea hapa bongo
Kweli kabisa wamebadili!!Ameshabadili vipengele vya hiyo katiba..nilimsikia sehemu anasema bado ana terms 2 za kugombea🚮🚮