Kama stand mpya Mbezi kuna frame za 1m Kkoo unakosaje frame ya 3m?Mtaani tumezoea kodi ya fremu kuanzia 50k-200k, kutokana na eneo...
Ukiwasikiliza wabongo hautajenga, hautaanzisha biashara, hautaoa yaani kila kitu kwako utaona kigumu tu tusubiri wenye ujuzi na KkooMtaani tumezoea kodi ya fremu kuanzia 50k-200k, kutokana na eneo..
Kwa taarifa ninazopata ni kua fremu k.koo si chini ya 1M, oky hio sikatai kutokana na eneo lenyewe,
Vipi hawa wanaosema ni 3M-5Millions,
Jee hii ni kweli? Mtu huyu anamauzo ya namna gani?
Ikumbukwe hapa nazungumzia fremu za bidhaa ndogo ndogo kama simu, nguo n.k ambapo unakuta ukubwa wa chumba ni almost 8×10ft.
Ulivyo malizia uko chini nimecheka sanaNina classmate wangu ambaye ni marafiki sanaa,..
Nina classmate wangu ambaye ni marafiki sanaa,..
ulivyo malizia uko chini nimecheka sana
Ukali ni stress mzee hasa za njaa, hakuna cha nini wala nini....Ukali siku zote ni stress, unakuta mzee hataki kabisa kuguswa[emoji3][emoji3]
HahahahahUkali ni stress mzee hasa za njaa, hakuna cha nini wala nini...
Unamaanisha kuinunua kabisa?Wakuu fremu bado ni ngumu kupata sehemu iliyochangamka asikudanganye mtu , hasa Kwa DSM , mbezi stand ya daladala Tu kupata Tu Banda la kukodi ni tena ndani humo kwenye vibanda ni 200k tena la kiboya Tu , goba pale center mpak 500k sembuse kariakoo.... Kariakoo mtu kukwachia Tu fremu si chini ya 35mil wanaita kumvua kilemba ....
Kuinunua tena 😀 jamaa anakuachia anaondoka na vitu vyake unabaki na frem tupu ndo hyo unampa mil 35 tena na Zaid kulingana na location .... Hapo unaanza kuelewana na mwenye frem sasa kuhusu Kodi na dalali hapo anahitaji chake , TRA nao ndani bila kusahau halmashauri , mlinzi n.k 🤪🤪🤣🤣Unamaanisha kuinunua kabisa?
Khaaaaaa.Kuinunua tena 😀 jamaa anakuachia anaondoka na vitu vyake unabaki na frem tupu ndo hyo unampa mil 35 tena na Zaid kulingana na location .... Hapo unaanza kuelewana na mwenye frem sasa kuhusu Kodi na dalali hapo anahitaji chake , TRA nao ndani bila kusahau halmashauri , mlinzi n.k 🤪🤪🤣🤣
Biashara zipo mitandaoni siku hizi.Hakuna frame kkoo inayozidi 3m kwa sasa nyingi zinacheza 5-1.5m, napo inadepend na location au mtaaa mfano kwa kariakoo mitaa kama ya congo, swahili, mafia, livingstone, uhuru, msimbazi na gerezani bei zake zmechangamkaa sana kuna mitaa kariakoo frame zipo chini pia inategemea na mtaaa