Nina classmate wangu ambaye ni marafiki sanaa,
Baba yao alijenga mjengo wa kupangisha biashara k.koo,
Alishafariki, yule jamaa ile chain nzima ya ka family kao, kila katikati ya mwezi ana uhakika wa 5M..
No wonder aliacha shule, watu wakasema sana ikiwemo walimu anachezea maisha, ila njemba mpaka leo ni bata tuu, na hakuna mazingira ya hizo laana kumpata.
Kuna wazee waliwekeza banaaa, achana na hawa wetu wanaong'ang'ania ukali kumbe stress za njaa na madeni mda wote anaongea kama kapaliwa na ukoko.