Hivi Kariakoo ni kweli kuna Fremu za 3M-5M au ni kutishana tu?

Hivi Kariakoo ni kweli kuna Fremu za 3M-5M au ni kutishana tu?

Nina classmate wangu ambaye ni marafiki sanaa,

Baba yao alijenga mjengo wa kupangisha biashara k.koo,
Alishafariki, yule jamaa ile chain nzima ya ka family kao, kila katikati ya mwezi ana uhakika wa 5M..

No wonder aliacha shule, watu wakasema sana ikiwemo walimu anachezea maisha, ila njemba mpaka leo ni bata tuu, na hakuna mazingira ya hizo laana kumpata.

Kuna wazee waliwekeza banaaa, achana na hawa wetu wanaong'ang'ania ukali kumbe stress za njaa na madeni mda wote anaongea kama kapaliwa na ukoko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivyomalizia naona ulikusudia kabisa.. Carleen pita hapa.
 
Nina classmate wangu ambaye ni marafiki sanaa,

Baba yao alijenga mjengo wa kupangisha biashara k.koo,
Alishafariki, yule jamaa ile chain nzima ya ka family kao, kila katikati ya mwezi ana uhakika wa 5M..

No wonder aliacha shule, watu wakasema sana ikiwemo walimu anachezea maisha, ila njemba mpaka leo ni bata tuu, na hakuna mazingira ya hizo laana kumpata.

Kuna wazee waliwekeza banaaa, achana na hawa wetu wanaong'ang'ania ukali kumbe stress za njaa na madeni mda wote anaongea kama kapaliwa na ukoko.
😂😂😂
 
Mkuu we Acha Tu kariakoo kuna vituko [emoji1787] na still watu wanalipa , watu wana pesa aisee hata hvyo kuna watu wanapiga net profit ya mil 500 Safi kabisa , ngoja sie wenye mitaji ya laki moja mpak laki Tisa huku tunaulizana nifanye biashara gani[emoji39]
Niliwahi kuambiwa kariakoo Frem zinalipiwa kwa mwaka. Mambo ya miezi 6 hayapo.. sasa sijui ni kweli?
 
Hyo mitaa kila frem ina mtu , solution ni kumvua mtu kilemba ....may be upate ndani ndani , ni most marketable street , ni vigumu kukuta frem inahang , yaan hata kama kuna mpya zinajengwa unakuta tayar zishalipiwa
Duh!!! Sawa.
 
Wakuu fremu bado ni ngumu kupata sehemu iliyochangamka asikudanganye mtu , hasa Kwa DSM , mbezi stand ya daladala Tu kupata Tu Banda la kukodi ni tena ndani humo kwenye vibanda ni 200k tena la kiboya Tu , goba pale center mpak 500k sembuse kariakoo.... Kariakoo mtu kukwachia Tu fremu si chini ya 35mil wanaita kumvua kilemba ....
Hiyoyo Kariakoo ya mwaka gani ndugu maana sasa hivi ukipita unakuta fremu nyingi zimefungwa
 
Kuinunua tena [emoji3] jamaa anakuachia anaondoka na vitu vyake unabaki na frem tupu ndo hyo unampa mil 35 tena na Zaid kulingana na location .... Hapo unaanza kuelewana na mwenye frem sasa kuhusu Kodi na dalali hapo anahitaji chake , TRA nao ndani bila kusahau halmashauri , mlinzi n.k [emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787]
Hizi story sijui mnazipatia wapi?!!!
 
Mkuu we Acha Tu kariakoo kuna vituko [emoji1787] na still watu wanalipa , watu wana pesa aisee hata hvyo kuna watu wanapiga net profit ya mil 500 Safi kabisa , ngoja sie wenye mitaji ya laki moja mpak laki Tisa huku tunaulizana nifanye biashara gani[emoji39]
Siyo kariakoo ya 2021
 
Wanasoma kwenye vitabu vya history.ila ukija kwenye ukweli wala haipo ivyo kabisa.sasa ivi watu wanapiga pesa Dodoma huko ila hapa Dar ni njaa tu
Dodoma ipi unayozungumzia, kuna watu wapo Dodoma wananiambia niwatafutie frem DSM right now, biashara ni za msimu kule zinategemea vyuo, vikao vya Bunge na jiwe arande rande huko
 
Nina classmate wangu ambaye ni marafiki sanaa,

Baba yao alijenga mjengo wa kupangisha biashara k.koo,
Alishafariki, yule jamaa ile chain nzima ya ka family kao, kila katikati ya mwezi ana uhakika wa 5M..

No wonder aliacha shule, watu wakasema sana ikiwemo walimu anachezea maisha, ila njemba mpaka leo ni bata tuu, na hakuna mazingira ya hizo laana kumpata.

Kuna wazee waliwekeza banaaa, achana na hawa wetu wanaong'ang'ania ukali kumbe stress za njaa na madeni mda wote anaongea kama kapaliwa na ukoko.
Hahahaha.... hahahahaha. We jamaa fala Sana.... Hehehehehehe... Eti hizo maana???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dingi anafoka Kama kapaliwa na ukoko.....
 
Kwa jinsi biashara zilivyoanguka sidhani bei ni juu kiasi hicho. Ila baadhi wana tamaa wakiona una wateja wengi hawakawawii kukuongezea bei.
Mtaani tumezoea kodi ya fremu kuanzia 50k-200k, kutokana na eneo..

Kwa taarifa ninazopata ni kua fremu k.koo si chini ya 1M, oky hio sikatai kutokana na eneo lenyewe,
Vipi hawa wanaosema ni 3M-5Millions,
Jee hii ni kweli? Mtu huyu anamauzo ya namna gani?
Ikumbukwe hapa nazungumzia fremu za bidhaa ndogo ndogo kama simu, nguo n.k ambapo unakuta ukubwa wa chumba ni almost 8×10ft.
 
Back
Top Bottom