Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Watakao sababisha nchi isitawalike ni CCM na dolaMaelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa.
Huwa mara nyingi upepo wa kisiasa ukionekana unawaendelea vyema Chadema kinachofuata ni vurugu na ghasia ambazo uandaliwa na viongozi wakuu wa chama tawala.
Jk alipoona Chadema inakuwa na nguvu sana alianza kutumia akina Nape na Mwigulu kutengeneza propaganda na sasa ndivyo hali ilivyo. Je yakianza kutokea yatakemewa au yatapewa na ulinzi?
Watakao sababisha nchi isitawalike ni CCM na dola
Mimi niliwahi shauri chama chngu kutumia spinning kama NJIA ya ku deal na hoja za upinzani!!
Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa.
CCM husababisha vurugu kwa msaada wa polisi.View attachment 2730113
Video | viwanja vya S/M Didia, kata ya Didia, Jimbo la Solwa, Shinyanga Vijijini
Well done.....Tuendelee kukusanya USHAHIDIView attachment 2730113
Video | viwanja vya S/M Didia, kata ya Didia, Jimbo la Solwa, Shinyanga Vijijini
Watanzania hawatakiwi kupigana kama mbwa, ng'ombe, mbuzi, kuku,......Wanakwenda kutafuta matatizo bure, vijana wa ccm walivyo legelege watapambana na vijana manguli wa CDM kweli? 🤣 🤣 🤣
Spinning zimeshindwa kuizima dude la Bandari!!Mimi niliwahi shauri chama chngu kutumia spinning kama NJIA ya ku deal na hoja za upinzani!!
Sema hili la dp NADHANI chama changu kimeamua liendelee kuwepo kwenye mjadala kwa kazi maalum iliyokusudiwa na tutaijua soon!!