Sana endapo utakuwa haupo specific na swali yani ukiuliza comand unataka kitu maana wana data nyingi mnoBinafsi naipenda chatpgt.
Kumbe wanatoaga majibu ya uwongo?
Hao Meta qanachukua mda sana kutoa jibuBora chatgpt...
Meta ndo jau kabisa
Gemini kaniudhi sana ananitaja jina langu la ukoo kajuaje? Namuuliza anasema hanijui kihivyo ila Inawezekana amebahatisha eti Kwa taarifa nilizowahi share huko nyuma .Chat Gpt yuko kote yaan formal na informal utakavyompeleka ndo ataenda ana vibe utani mwingi n.k
🤣 Gemin imekaa kifaza sana ! Yaan kama mtu yule ambaye hapendi kona kona amenyooka ! Hajui utani imekaa kama baba mkwe !!
Kuna siku nimemuuliza ChatGpt "Oya nna 500k kwa hela ya madafu hapa mshua hivi siwezi pata Maserati" akanijibu "kwa hiyo pesa huwezi kununua hata tairi yake ila unaweza kununua picha yake ukabandika ukutani au Toy ya maserati ukampa mtoto" 🤣
Juzi nimemuuliza kama anaweza recommend acid inayoweza kudissolve kuku wa uzito wa kg 80 🤣🤣
Yeah kama ulishazungumzia au kumuuliza kitu anaweza kutrace 🤣 anaweza kujua kazi yako kulingana na vitu unavyomuuliza kila maraGemini kaniudhi sana ananitaja jina langu la ukoo kajuaje? Namuuliza anasema hanijui kihivyo ila Inawezekana amebahatisha eti Kwa taarifa nilizowahi share huko nyuma .
Hovyo sana Hawa huwezi jificha 😂😂
Eli Cohen ☝️ 😂.Kama ivi