Hivi kati ya chatgpt, Gemin na meta AI nani anatoa taarifa za kweli?

Hivi kati ya chatgpt, Gemin na meta AI nani anatoa taarifa za kweli?

.lakini kuna wakati mwingine wanakupa majibu ya uongo.
Pata access ya Paid Package: natumia Opus 5 or GPT 5.6 Sol
1786252722548.png

//
1786252897128.png
 
Dio
Binafsi naipenda chatpgt.

Kumbe wanatoaga majibu ya uwongo?
Ndio 😄😄

Meta Ai anahuo mchezo usipo kuwa makini anakulisha matango pori

Wajua AI ni tools ya kusearch data na research mbali mbali kwenye vyanzo mbali mbali vya taarifa duniani kupitia Google so hapo ndio kasheshe pia inapoanza Kuna data nyingine ni kanyanja
 
Nawatumia wote hao..lakini kuna wakati mwingine wanakupa majibu ya uongo.
Je mwanajf kati yao hao jamaa kwako yupi ana ahueni?
Chatgpt muongo alitaka kuniingiza mkenge
Nawatumia wote hao..lakini kuna wakati mwingine wanakupa majibu ya uongo.
Je mwanajf kati yao hao jamaa kwako yupi ana ahueni?
bora Grok
 
Binafsi natumia gemini, yuko vizuri zingine hizo sijawahi kutumia
Chat Gpt yuko kote yaan formal na informal utakavyompeleka ndo ataenda ana vibe utani mwingi n.k

🤣 Gemin imekaa kifaza sana ! Yaan kama mtu yule ambaye hapendi kona kona amenyooka ! Hajui utani imekaa kama baba mkwe !!

Kuna siku nimemuuliza ChatGpt "Oya nna 500k kwa hela ya madafu hapa mshua hivi siwezi pata Maserati" akanijibu "kwa hiyo pesa huwezi kununua hata tairi yake ila unaweza kununua picha yake ukabandika ukutani au Toy ya maserati ukampa mtoto" 🤣

Juzi nimemuuliza kama anaweza recommend acid inayoweza kudissolve kuku wa uzito wa kg 80 🤣🤣
 
Nawatumia wote hao..lakini kuna wakati mwingine wanakupa majibu ya uongo.
Je mwanajf kati yao hao jamaa kwako yupi ana ahueni?
Kinachonifurahisha kwa upande wa Chatgpt wana offline readings 📚 . Yaani ukiwa hauna data zile ukizotafuta unaweza ukaendeleea kusoma ukiwa offline tofauti na AI zote na ya kichina inajaribu inasevu baadhi, nyingine haisevu
 
Chatgpt yupo friendly ila GEMINI ni nondo haswa wakuu. Gemini imenyooka, mimi kwa sasa mambo makubwa naanza na Gemini kisha Chatgpt, Gemini majibu yake ni ya kina kidogo, amenyooka. Kwa utengenezaji wa picha, chagpt nampa heshimu yake.
 
Nawatumia wote hao..lakini kuna wakati mwingine wanakupa majibu ya uongo.
Je mwanajf kati yao hao jamaa kwako yupi ana ahueni?
Hakuna hata mmoja kati ya ChatGPT, Gemini na Meta AI ambaye ni sahihi kwa 100% . Wote wanaweza kutoa taarifa zisizo sahihi, hasa kwenye habari mpya, takwimu, historia yenye utata, au mada zinazohitaji vyanzo vingi vingi au vyanzo tofauti.
Tofauti kubwa kati yao hawa mabwana ni jinsi wanavyotafuta, kuchambua na kuthibitisha taarifa.
Kwa hiyo nakuonya tena, kwa taarifa muhimu, usiamini AI kwa jina lake tu. Angalia:
  1. Chanzo kilichotumika — je, ni chanzo rasmi au cha kuaminika?
  2. Tarehe ya taarifa — hasa kwa habari za sasa.
  3. Ushahidi unaotolewa — hapa usingalie jibu tu.
  4. Linganisha na vyanzo vingine — hasa kwa mada za kisiasa, kisheria, afya au historia ili kupata uhakika.
 
Back
Top Bottom