Hivi kati ya chatgpt, Gemin na meta AI nani anatoa taarifa za kweli?

Chat Gpt yuko kote yaan formal na informal utakavyompeleka ndo ataenda ana vibe utani mwingi n.k

🀣 Gemin imekaa kifaza sana ! Yaan kama mtu yule ambaye hapendi kona kona amenyooka ! Hajui utani imekaa kama baba mkwe !!

Kuna siku nimemuuliza ChatGpt "Oya nna 500k kwa hela ya madafu hapa mshua hivi siwezi pata Maserati" akanijibu "kwa hiyo pesa huwezi kununua hata tairi yake ila unaweza kununua picha yake ukabandika ukutani au Toy ya maserati ukampa mtoto" 🀣

Juzi nimemuuliza kama anaweza recommend acid inayoweza kudissolve kuku wa uzito wa kg 80 🀣🀣
 
Gemini kaniudhi sana ananitaja jina langu la ukoo kajuaje? Namuuliza anasema hanijui kihivyo ila Inawezekana amebahatisha eti Kwa taarifa nilizowahi share huko nyuma .

Hovyo sana Hawa huwezi jificha πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Gemini kaniudhi sana ananitaja jina langu la ukoo kajuaje? Namuuliza anasema hanijui kihivyo ila Inawezekana amebahatisha eti Kwa taarifa nilizowahi share huko nyuma .

Hovyo sana Hawa huwezi jificha πŸ˜‚πŸ˜‚
Yeah kama ulishazungumzia au kumuuliza kitu anaweza kutrace 🀣 anaweza kujua kazi yako kulingana na vitu unavyomuuliza kila mara
 
Wote ni wazuri ..cha Msingi ni kuwa specific na unachokihitaji ..watakuongoza vizuri mno..
Mimi nilianza nao wote Juni-2026 mwanzoni, mchakato wa kazi fulani kuanzia CV- Drafting,nika apply,nikawa shortlisted kabisa Interview na nikafanyiwa online/ Microsoft Teams na last week nimeitwa kwenye Physical Interview na nimeshafanya na ngojea matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…