Hivi kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa?

Wadau wa madini kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa?
Sio kila jiwe la tanzanite lina thamani ya juu....iko tanzanite bei yake inazidiwa hata tourmaline....

Kwa bei ya dhahabu ilipo sasa, na inapoelekea...baada ya miezi 6-8...inaiacha mbali tanzanite!

Madini yenye thamani ni Almasi, ambayo hukuyataja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…