Taaluma ni tofauti na siasa ndio maana wasomi siku hizi wanaambiwa wana phd za maandaziSiku wana siasa wakiwa watumishi wenu swali lako litakuwa na maana Boss. Mpaka sasa huyo afisa biashara ni Boss.
Mfano, mtu amekuja amewaomba kura, amewanyenyekea amewapigia magoti, mmempa kura baada ya hapo mnaanza kumnyenyekea, kumsifu na kumuomba omba.