Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauliza tu Kwa watalaamu wa Sheria zetu
Kuwa na katiba mpya, ni hisani ya mtawala kukuubali kusimamia kitu hichi ambacho kwayo takwa hili halimo kwenye Ilani iliyomweka madarakani
Kama siyo huruma na hisani ya mtawala kupokea Jambo hili na kuamua kulifanyia kazi, Kwa nini kila anayesimama na kutaka katiba mpya anamalizia kumtaja Rais kwamba aliangalie Jambo hili?
Ulazima huo wa yeye atake asitake lazima katiba iandikwe tu unatoka wapi sasa?
Je, ni sheria ipi inayomlazimisha Raisi kwamba, linapokuja swala la kudai katiba mpya ni lazima atekeleze mara moja??
Kama hakuna sheria inayomlazimisha hivyo Rais kusimamamia uandikwaji wa katiba mpya, Ni Kwa namna Ipi Bora ambayo itatufanya tuipate hiyo katiba mpya?
Je, tunaweza kuandika katiba mpya hata mh Rais tusipomshirikisha au asipotaka kukubali kuandikwa Kwa katiba hiyo??
Je, ni Nani mwingine kikatiba anaweza kusaidia Jambo hili lifanyiwe utekerezaji wake hata Raisi asipotaka??
Kama hakuna kabisa mbadala wa Rais kusimamia hili Jambo la uandikwaji katiba mpya, jibu lake itakuwa ni kweli hisani ya Rais kupata katiba mpya ndio mwarobaini wa kelele zetu?
Je, sasa ikiwa ndio hivyo, wanaharakati wanaodai kuwepo katiba mpya, watumie Mbinu ipi ikiwa Mh Raisi hatokubali kupokea hitaji hili mhimu Kwa sasa
Kwenu, wadau wa sheria
Asante
Wengi hawatambui hiloKatiba ni twkwa la wananchi. Kwasabb katiba mkataba unaoeekeza watawala namna ya kuendesha uchumi na siasa za nchi.
Kwahiyo mkataba (katiba) ukiwa mbovu kama huu wetu unaompa mtawala nguvu kuliko wananchi, mtawala ananufaika zaidi. Na haumuwajibishi.
Ndiyo maana katiba hii kamwe haiwezi kubadilishwa na watawala bila kushinikizwa na wananchi.
Wananchi tukiendelea kulala tusahau kuhusu katiba mpya.
Sio lolote kati ya hayo mawili kwenye kichwa cha habari.Nauliza tu Kwa watalaamu wa Sheria zetu