Hivi katiba mpya ni hisani ya kutoka Kwa mtawala ama ni takwa kisheria?

Siyo rahisi kama unavyofikiria...

Mchakato mzima unahusisha sekta nyingi ambazo zipo chini ya Rais bila kupewa ushirikaino hutoweza kufanikisha...
 
 
Wengi hawatambui hilo
 
Sio lolote kati ya hayo mawili kwenye kichwa cha habari.

Ni takwa la kijamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…