Hivi kesi kama hizi bado zinastahili kuwepo?

Killing machine

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
2,396
Reaction score
3,444
Umetoka zako nyumbani unga umeisha, mkaa umeisha, mchele umeisha, kazi huna japo una degrees zako

Huja kaa sawa katoto kanaumwa
unaona acha nitoke nitembee tembee huko nje kutafuta vibarua ili angarau niweze kupata pesa ya dawa ya mtoto

Unakatiza mtaa wa kwanza wa pili unakutana na defender inasimama unanyoshewa machine unaambiwa upo chini ya ulinzi

Unapigwa pingu unaingia police station baada ya siku au masaa unajikuta mahakamani

Unasomewa shtaka la uzembe na uzurulaji unapigwa faini Alf 50 au jera miezi sita

Huna ndugu,huna mdhamini, afu upo jiji la watu wa kuku tetea hayupo na hata wangekuwepo nawao Wana kutegemea wewe update uwape

Kwa kukosa msaada katika Hari isiyo ya kujitakia unajikuta umevaa sare za kifungwa na namba yako ya ufungwa na ghafra unaitwa mfungwa kwa kosa la uzembe na uzurulaji

Huku nyuma mtoto ume mwacha ana umwa na chakula hamna

think like a man how you gonna feel?

Je!

Kesi Kama hizi bado Zina stahili kuwepo?

Watanzania tunaishi maisha magumu Sana ndugu zangu!
 
Ndiyo maana tunaongoza duniani kwa kutokuwa na furaha,kwa hiyo serikali inataka wasiyokuwa na kazi wajifungie ndani?
 
Mkuu achatuuu imeshanikuta hii kitu semanini umaskini nilaana nilikuwa Sina pesa ya kuwapa rushwa polic hila JWTZ walinisaidia san ntanguhiyo siku Mimi na police ni baka na mbwa
Kuna haja ya serikali yetu kulifanyia kazi hili maabusu wengi ni kesi hizo mkuu
 
Fata huu ushauri .

Naona huu ushauri ukitumika vizuri tutapiga hatua
Ni ushauri nzuri Sana hasa kwa watu wanao ishi kwenye mazingira yanayo fanana na hayo

Kuna maisha wattu wanaishi kuzifikia ndoto Kama hizo ni ndoto ndani ya ndoto mkuu mfano.

msukuma mkoko,boda boda,mpiga debe,mkusanya makopo/used materials,muuza maji ya kwenye madumu nk

Huenda mtu akazeheka bila mke

Lakini hata hivyo ni wazo zuri japo si kila wazo unaweza lifanyia kazi🙏🙏
 
The same thng ilinikuta mkuu, nilikuwa na biashara zangu nafanya nimefungua library ya movie pia nauza viatu, biashara ikawa nzuri hadi nikapanga chumba na sebure boonge la nyumba ndani ya geti. Mambo yakawa hovyo nikafunga biashara ya viatu kwny library napo nikapandishiwa kodi mara 3 yake na umeme juu. Ikabidi nifunge ofisi, ugumu wa maisha nikauza computer ili nijaribu zari kwngne, mwenye nyumba naye akanijia juu kisa kodi imepungua elfu 10 tu nikatimuliwa. Niliamua kumsafirisha wife na watoto kwao nikapanga kisirisiri kachumba kamoja kamatope na giza cha 10,000 mtaa wa pili nikawa nahama usiku usiku ili majirani wasinione. Mara ghafla nashtukia gari linakuja kasi na kupiga breki kali karibu yangu, "ndio hayahaya tunayoyatafuta, litakuwa jizi hili hebu lipakie kwenye difenda" afande mmoja aliropoka kwa sauti akimwamrisha mwenzake, huyo mwenzake akaja kasi na kunizoa.. Wee niligoma nikamwambia mi nahama hivi ni vitu vyangu, wakataka niwapeleke nnapotoa vitu nikawapeleka walipo ridhika wakaondoka.
 
Moral of the story : kijana usianzishe familia kama hujawa fit kiuchumi 😎
yaan hao ni wale wanaoendekeza kubeti hadi kwenye maisha yao halisi.

Mwanaume mzima anaona maisha yamempiga hana mchongo wa maana anasema eti ngoja nioe labda ntapata wa kusaidiana nae.

Sasa wanaoana wote jobless kazi kukaa ndani kunyanduana tu hovyo bila kondom, mwisho wa siku wanatungana mimba na mke hadi inabidi akajifungukie kwao au kwa ndugu sabb mwanaume hayuko vizuri kiuchumi.

Baadae huko wanamchoka anafosi kurudi kwa mwanaume wake ndipo story kama hio ya mtoa mada inaweza kutokea.

Sikatai mwanamke ni msaidizi, lakini tumia hio reason ukiwa tyr una mchongo wa kusukuma maisha, yeye akusaidie nyumbani, badala ya kupoteza hela bar na hotelini (ukiwa sasa na kazi na vihela kidogo) ndipo uchukue mke muishi wote awe anapika na kufua.

Nina jirani yangu alikuja na concept hizohizo nikahama hapo sabb kabla nlikua namkopesha sana, alivokuja na story za kuoa nikaona hapa anaona mm benki yake.

Vijana tumieni akili sometimes
 
The same thng ilinikuta mkuu, nilikuwa na biashara zangu nafanya nimefungua library ya movie pia nauza viatu, biashara ikawa nzuri hadi nikapanga chumba na sebure boonge la nyumba ndani ya geti. Mambo yakawa hovyo nikafunga biashara ya viatu kwny library napo nikapandishiwa kodi mara 3 yake na umeme juu. Ikabidi nifunge ofisi, ugumu wa maisha nikauza computer ili nijaribu zari kwngne, mwenye nyumba naye akanijia juu kisa kodi imepungua elfu 10 tu nikatimuliwa. Niliamua kumsafirisha wife na watoto kwao nikapanga kisirisiri kachumba kamoja kamatope na giza cha 10,000 mtaa wa pili nikawa nahama usiku usiku ili majirani wasinione. Mara ghafla nashtukia gari linakuja kasi na kupiga breki kali karibu yangu, "ndio hayahaya tunayoyatafuta, litakuwa jizi hili hebu lipakie kwenye difenda" afande mmoja aliropoka kwa sauti akimwamrisha mwenzake, huyo mwenzake akaja kasi na kunizoa.. Wee niligoma nikamwambia mi nahama hivi ni vitu vyangu, wakataka niwapeleke nnapotoa vitu nikawapeleka walipo ridhika wakaondoka.
😹😹😹 Wewe ni mwizi ulikua unamkimbia mwenye nyumba..!!
 
Back
Top Bottom