Hivi kesi kama hizi bado zinastahili kuwepo?

Hivi kesi kama hizi bado zinastahili kuwepo?

Hao polisi njaa tu michezo wanayo sana zikiwa zinakaribia sikukuu kwa ajili ya kufosi wapate chochote kitu

Ukikaza hutoi hata 100 yako ila wana mtindo wa kukwambia wakusearch ukikubali tu umeisha 😅
 
Hao polisi njaa tu michezo wanayo sana zikiwa zinakaribia sikukuu kwa ajili ya kufosi wapate chochote kitu

Ukikaza hutoi hata 100 yako ila wana mtindo wa kukwambia wakusearch ukikubali tu umeisha 😅
Lazima wakukute na kete,😄😄😄
 
Reality nikwamba hakuna maskini anaye penda kuwa maskini mkuu all we fight to be on the top

So kuwa maskini ni badluck tu coz we have no way out

Na nakupa hii Siri mkuu

Ukianza kuji hisi au kujiona una Hera tembelea wenye Hera wakuonyeshe Hera utagundua we Fara tu bado unatafuta
Naomba tafsiri ya neno hera
 
Back
Top Bottom