Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
Fata huu ushauri .Moral of the story : kijana usianzishe familia kama hujawa fit kiuchumi ๐
Umeongea ukweli mkuu police jera nimakao ya maskini tuSheria zote duniani zipo kwa ajili ya masikini na watu dhaifu tu.
Ukijua ur still broke you have to start to live with a certain code on the street.
Karibu mkuuFata huu ushauri .
Naona huu ushauri ukitumika vizuri tutapiga hatua
Bongo una weza zeheka Huja owa๐๐Moral of the story : kijana usianzishe familia kama hujawa fit kiuchumi ๐
Ndiyo maana tunaongoza duniani kwa kutokuwa na furaha,kwa hiyo serikali inataka wasiyokuwa na kazi wajifungie ndani?Umetoka zako nyumbani unga umeisha, mkaa umeisha, mchele umeisha, kazi huna japo una degrees zako
Huja kaa sawa katoto kanaumwa
unaona acha nitoke nitembee tembee huko nje kutafuta vibarua ili angarau niweze kupata pesa ya dawa ya mtoto
Unakatiza mtaa wa kwanza wa pili unakutana na defender inasimama unanyoshewa machine unaambiwa upo chini ya ulinzi
Unapigwa pingu unaingia police station baada ya siku au masaa unajikuta mahakamani
Unasomewa shtaka la uzembe na uzurulaji unapigwa faini Alf 50 au jera miezi sita
Huna ndugu,huna mdhamini, afu upo jiji la watu wa kuku tetea hayupo na hata wangekuwepo nawao Wana kutegemea wewe update uwape
Kwa kukosa msaada katika Hari isiyo ya kujitakia unajikuta umevaa sare za kifungwa na namba yako ya ufungwa na ghafra unaitwa mfungwa kwa kosa la uzembe na uzurulaji
Huku nyuma mtoto ume mwacha ana umwa na chakula hamna
think like a man how you gonna feel?
Je!
Kesi Kama hizi bado Zina stahili kuwepo?
Watanzania tunaishi maisha magumu Sana ndugu zangu!
Mkuu Ina sikitisha SanaNdiyo maana tunaongoza duniani kwa kutokuwa na furaha,kwa hiyo serikali inataka wasiyokuwa na kazi wajifungie ndani?
Kuna haja ya serikali yetu kulifanyia kazi hili maabusu wengi ni kesi hizo mkuuMkuu achatuuu imeshanikuta hii kitu semanini umaskini nilaana nilikuwa Sina pesa ya kuwapa rushwa polic hila JWTZ walinisaidia san ntanguhiyo siku Mimi na police ni baka na mbwa
Umeishia darasa la ngapi?Bongo una weza zeheka Huja owa๐๐
Ni ushauri nzuri Sana hasa kwa watu wanao ishi kwenye mazingira yanayo fanana na hayoFata huu ushauri .
Naona huu ushauri ukitumika vizuri tutapiga hatua
Uchumi ni kitu relative ,mtu mwenye milioni 100 leo,kesho anaweza kua na milioni 20Moral of the story : kijana usianzishe familia kama hujawa fit kiuchumi ๐
yaan hao ni wale wanaoendekeza kubeti hadi kwenye maisha yao halisi.Moral of the story : kijana usianzishe familia kama hujawa fit kiuchumi ๐
๐น๐น๐น Wewe ni mwizi ulikua unamkimbia mwenye nyumba..!!The same thng ilinikuta mkuu, nilikuwa na biashara zangu nafanya nimefungua library ya movie pia nauza viatu, biashara ikawa nzuri hadi nikapanga chumba na sebure boonge la nyumba ndani ya geti. Mambo yakawa hovyo nikafunga biashara ya viatu kwny library napo nikapandishiwa kodi mara 3 yake na umeme juu. Ikabidi nifunge ofisi, ugumu wa maisha nikauza computer ili nijaribu zari kwngne, mwenye nyumba naye akanijia juu kisa kodi imepungua elfu 10 tu nikatimuliwa. Niliamua kumsafirisha wife na watoto kwao nikapanga kisirisiri kachumba kamoja kamatope na giza cha 10,000 mtaa wa pili nikawa nahama usiku usiku ili majirani wasinione. Mara ghafla nashtukia gari linakuja kasi na kupiga breki kali karibu yangu, "ndio hayahaya tunayoyatafuta, litakuwa jizi hili hebu lipakie kwenye difenda" afande mmoja aliropoka kwa sauti akimwamrisha mwenzake, huyo mwenzake akaja kasi na kunizoa.. Wee niligoma nikamwambia mi nahama hivi ni vitu vyangu, wakataka niwapeleke nnapotoa vitu nikawapeleka walipo ridhika wakaondoka.