Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
- Thread starter
-
- #21
Daah pole sana mkuu inchi zilizo endelea askali haruhu siwi kumkamata mtu kabla haja pata ushahidi lakini huku kwetu una kamatwa Kwanza ndipo ushahidi una fwata😄😄The same thng ilinikuta mkuu, nilikuwa na biashara zangu nafanya nimefungua library ya movie pia nauza viatu, biashara ikawa nzuri hadi nikapanga chumba na sebure boonge la nyumba ndani ya geti. Mambo yakawa hovyo nikafunga biashara ya viatu kwny library napo nikapandishiwa kodi mara 3 yake na umeme juu. Ikabidi nifunge ofisi, ugumu wa maisha nikauza computer ili nijaribu zari kwngne, mwenye nyumba naye akanijia juu kisa kodi imepungua elfu 10 tu nikatimuliwa. Niliamua kumsafirisha wife na watoto kwao nikapanga kisirisiri kachumba kamoja kamatope na giza cha 10,000 mtaa wa pili nikawa nahama usiku usiku ili majirani wasinione. Mara ghafla nashtukia gari linakuja kasi na kupiga breki kali karibu yangu, "ndio hayahaya tunayoyatafuta, litakuwa jizi hili hebu lipakie kwenye difenda" afande mmoja aliropoka kwa sauti akimwamrisha mwenzake, huyo mwenzake akaja kasi na kunizoa.. Wee niligoma nikamwambia mi nahama hivi ni vitu vyangu, wakataka niwapeleke nnapotoa vitu nikawapeleka walipo ridhika wakaondoka.
Kuna kitu ulitoa sema hukujua.Hizi kesi za aina yako zilinikuta mara mbili nilizipangua zote na sikutoa hata senti
Zote nilidakwa sokoni mchana kweupee
Nilazama na ganja kituon selo nikagawia masela
Polisi ni mapimbi tu!
Hata vidudu skuingia mkuuUmeishia darasa la ngapi?
Niliwai kusema sita kuja kuowa mpaka nijenge nyumba nzuri na gari kilicho tokea 🥴🥴Moral of the story : kijana usianzishe familia kama hujawa fit kiuchumi 😎
ulisema?Niliwai kusema sita kuja kuowa mpaka nijenge nyumba nzuri na gari kilicho tokea 🥴🥴
Dah pole aiseeThe same thng ilinikuta mkuu, nilikuwa na biashara zangu nafanya nimefungua library ya movie pia nauza viatu, biashara ikawa nzuri hadi nikapanga chumba na sebure boonge la nyumba ndani ya geti. Mambo yakawa hovyo nikafunga biashara ya viatu kwny library napo nikapandishiwa kodi mara 3 yake na umeme juu. Ikabidi nifunge ofisi, ugumu wa maisha nikauza computer ili nijaribu zari kwngne, mwenye nyumba naye akanijia juu kisa kodi imepungua elfu 10 tu nikatimuliwa. Niliamua kumsafirisha wife na watoto kwao nikapanga kisirisiri kachumba kamoja kamatope na giza cha 10,000 mtaa wa pili nikawa nahama usiku usiku ili majirani wasinione. Mara ghafla nashtukia gari linakuja kasi na kupiga breki kali karibu yangu, "ndio hayahaya tunayoyatafuta, litakuwa jizi hili hebu lipakie kwenye difenda" afande mmoja aliropoka kwa sauti akimwamrisha mwenzake, huyo mwenzake akaja kasi na kunizoa.. Wee niligoma nikamwambia mi nahama hivi ni vitu vyangu, wakataka niwapeleke nnapotoa vitu nikawapeleka walipo ridhika wakaondoka.
hilo linaeleweka kwenye uchumu kuna kupanda na kushukaUchumi ni kitu relative ,mtu mwenye milioni 100 leo,kesho anaweza kua na milioni 20
umepita mulemule mkuuyaan hao ni wale wanaoendekeza kubeti hadi kwenye maisha yao halisi.
Mwanaume mzima anaona maisha yamempiga hana mchongo wa maana anasema eti ngoja nioe labda ntapata wa kusaidiana nae.
Sasa wanaoana wote jobless kazi kukaa ndani kunyanduana tu hovyo bila kondom, mwisho wa siku wanatungana mimba na mke hadi inabidi akajifungukie kwao au kwa ndugu sabb mwanaume hayuko vizuri kiuchumi.
Baadae huko wanamchoka anafosi kurudi kwa mwanaume wake ndipo story kama hio ya mtoa mada inaweza kutokea.
Sikatai mwanamke ni msaidizi, lakini tumia hio reason ukiwa tyr una mchongo wa kusukuma maisha, yeye akusaidie nyumbani, badala ya kupoteza hela bar na hotelini (ukiwa sasa na kazi na vihela kidogo) ndipo uchukue mke muishi wote awe anapika na kufua.
Nina jirani yangu alikuja na concept hizohizo nikahama hapo sabb kabla nlikua namkopesha sana, alivokuja na story za kuoa nikaona hapa anaona mm benki yake.
Vijana tumieni akili sometimes
👊Fata huu ushauri .
Naona huu ushauri ukitumika vizuri tutapiga hatua
Shukuru mungu walikubali uwaonyesheThe same thng ilinikuta mkuu, nilikuwa na biashara zangu nafanya nimefungua library ya movie pia nauza viatu, biashara ikawa nzuri hadi nikapanga chumba na sebure boonge la nyumba ndani ya geti. Mambo yakawa hovyo nikafunga biashara ya viatu kwny library napo nikapandishiwa kodi mara 3 yake na umeme juu. Ikabidi nifunge ofisi, ugumu wa maisha nikauza computer ili nijaribu zari kwngne, mwenye nyumba naye akanijia juu kisa kodi imepungua elfu 10 tu nikatimuliwa. Niliamua kumsafirisha wife na watoto kwao nikapanga kisirisiri kachumba kamoja kamatope na giza cha 10,000 mtaa wa pili nikawa nahama usiku usiku ili majirani wasinione. Mara ghafla nashtukia gari linakuja kasi na kupiga breki kali karibu yangu, "ndio hayahaya tunayoyatafuta, litakuwa jizi hili hebu lipakie kwenye difenda" afande mmoja aliropoka kwa sauti akimwamrisha mwenzake, huyo mwenzake akaja kasi na kunizoa.. Wee niligoma nikamwambia mi nahama hivi ni vitu vyangu, wakataka niwapeleke nnapotoa vitu nikawapeleka walipo ridhika wakaondoka.
Niwe namiliki nini ili niingie rasmi kwenye sekta ya ndoa nisipate changamoto ya mdororo wa kiuchumi jirani?Kwanini uzae wakati bado hujajipata?
Nyege zenu ndo zinaongeza watoto wa mitaani na single maza wengi..!!
Vichwani kwa masikini wengi unao waona mafara mjini Kuna mikakati mizito ya maana na mikubwa ya mafanikioulisema?
ila hukuwa na mikakati
By the way umezungumza mambo mengi,Vichwani kwa masikini wengi unao waona mafara mjini Kuna mikakati mizito ya maana na mikubwa ya mafanikio
ambayo ukiambiwa utajiuliza mengi Sana kwamba ime weze kanaje masikini Kama huyu kuwa na mipango na mikakati Kama hii na bado Nima skini?
Mkuu unaweza kuwa na mikakati lakini mtaji wa kuendesha mikakati yako kuu pata ndiyo shughuri nyingine
Na pia sio wote wenye nacho walikuwa nacho au wote wasio nacho hawakuwa nacho
Maisha nikupanda na kushuka mkuu
Ukiwa na kauafadhali kwenye maisha unaweza mcheka jirani yako anaye kula kiporoumepita mulemule mkuu
umetisha sana
sio kweli,Ukiwa na kauafadhali kwenye maisha unaweza mcheka jirani yako anaye kula kiporo
Vipi kwa Yule aliye anzisha familia akiwa fit kiuchumi lakini mbeleni Mambo yaka yumba aka anguka kiuchumi?By the way umezungumza mambo mengi,
Ila point yangu ni ile ile kijana usianzishe familia kama hujawa fit kiuchumi itakucost.
kuna kitu hujuiVipi kwa Yule aliye anzisha familia akiwa fit kiuchumi lakini mbeleni Mambo yaka yumba aka anguka kiuchumi?
Reality nikwamba hakuna maskini anaye penda kuwa maskini mkuu all we fight to be on the topsio kweli,
tunaongea realty
hio comparison ya maskini na tajiri ni wewe umeileta,Reality nikwamba hakuna maskini anaye penda kuwa maskini mkuu all we fight to be on the top
So kuwa maski ni badluck tu coz we have no way out
Na nakupa hii Siri mkuu
Ukianza kuji hisi au kujiona una Hera tembelea wenye Hera utagundua bado huna Hera