Hivi kesi kama hizi bado zinastahili kuwepo?

Hao polisi njaa tu michezo wanayo sana zikiwa zinakaribia sikukuu kwa ajili ya kufosi wapate chochote kitu

Ukikaza hutoi hata 100 yako ila wana mtindo wa kukwambia wakusearch ukikubali tu umeisha 😅
 
Lazima wakukute na kete,😄😄😄
 
Naomba tafsiri ya neno hera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…